Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Sasa mbona ni wale wale wana wa Israel 😹😹
Hiyo kutokujua mambo mengi huwa tunawaektia…. Mi mpenzi wangu anajua mi mshamba tabulasa wa mwisho kumbe namchora.!

Kwenye kikao chetu cha mafeminine tuliambiana ukitolewa dinner hata km ushawahi kufika eneo hilo jifanye hupajui kabisaa.!!
Mi nishawahi kumwambia mpenzi wangu siijui kkoo na ni sehemu ninayoshinda hakuna chocho ambayo siijui ila akiongelea kkoo namchanganyia mitaa mpk anachoka yy.!!

Hizo ni tricky zetu wale much know hatupendi kujifanya kila kitu tunajua ili tuwasome mlivyo wajinga.!! 🤣🤣
 
Hajakupenda ndomaaana mwanamke anaekupenda content haziishagii
 
Punguza kuongea mkuu tofauti na hapo utakuja kuambiwa kuwa unaperecha, unajikuta mjuaji kila kitu unajua, unajiona upo sahihi au unaongea sana.

Wanawake hawana jema wewe kikubwa hakikisha unaichapa alafu relax tafuta hela polepole
 
Relationship za sikuhz ni

Attractions then sex baada ya hapo hamna jipyaa hasa mkiwa kila mmoja yuko na mipango yake
 
Njoo nikupe wangu kiongozi utachoka wewe mtu anamjua hadi ex wa obama
 
Huyo hakupendi mkuu, mwanamke ambae hakupendi hii ni dalili nyingine ukiacha ile ya kuombwa hela sana. Akili kichwani mwako ndugu yangu
 
Poa vip muhalifu wetu 🤣🤣
😹😹😹 Muhalifu niko pouwa.!!
Nimekumiss wifi yangu nataka unifundishe kupika biriani, si unajua tena wakinga na mapishi mbingu na ardhi.!
Week end nna ugeni mzito home nataka unichagulie vyakula vya kupika nisichekeshe, mpk nimewaza nitafute mtu anipikie nimlipe nisiaibike 🤣🤣🤣
 
To each their own..., Binafsi hao ndio nawapenda yaani unaongea kitu kama unacho cha kuongea sio ili mradi tu umake conversation...

Matokeo yake story zenu zikiisha mnaanza kuongelea watu (especially kama hamna common ground / likes)....
 
😂😂😂 si ndio hapo.!!
Hajakutana na wambea, yani mi babe wangu mpk anachoka mana taarifa zote ninazo sio za siasa sio za udaku ni yeye kuchagua tuanze na ipi??
Sijawahi kosa content hata yanayoendelea kwenye familia yao ninayo.!!
nimecheka.last line😀😀...hata mm ya kwao nayajua yootr yeye hata hayajui😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…