Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sasa mbona ni wale wale wana wa Israel 😹😹1. Tukiwa tunatembea akiwa anapenda kushika kama kuvuta nguo/shati langu! Mara nyingi shati langu kwa nyuma hivi kimtindo
2. Kupenda nimshikie vitu vyake kama simu, au vikorokoro vyao
3. Tukiwa tumekaa kuna jinsi wanachezesheaga miguu/mikono/vidole vile amazing kimtindo huwa inanipa mzuka kumuangalia
4. Kuna jinsi ambavyo anakuitikia nikiwa naongea au kuinua kichwa kuashilia ananisupport ninachoongea! Hii hata asipoongea mimi nitaendelea kukata mistari na sitachoka!
4. Tabasamu!
5. Kuwa na mashauzi ya kuhisi anajisikia baridi na kutaka body contact yangu/kuniegemea/kunilalia
6. Kutokujua mambo mengi na kuwa mgeni kwa story ntakazokuwa nampigia. Sasa hapa ndo mahali manzi wanakata stimu zetu, unaanzisha story anaidakia kwa juu na kuimalizia 😆😅😅
7.....
8.....
Lamomy
Hiyo kutokujua mambo mengi huwa tunawaektia…. Mi mpenzi wangu anajua mi mshamba tabulasa wa mwisho kumbe namchora.!
Kwenye kikao chetu cha mafeminine tuliambiana ukitolewa dinner hata km ushawahi kufika eneo hilo jifanye hupajui kabisaa.!!
Mi nishawahi kumwambia mpenzi wangu siijui kkoo na ni sehemu ninayoshinda hakuna chocho ambayo siijui ila akiongelea kkoo namchanganyia mitaa mpk anachoka yy.!!
Hizo ni tricky zetu wale much know hatupendi kujifanya kila kitu tunajua ili tuwasome mlivyo wajinga.!! 🤣🤣