Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Unatoleaga wap upwiru?KATAA NDOA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoleaga wap upwiru?KATAA NDOA
Wanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
😹😹😹 wakae na sisi kwa kutulia tunawajua kuliko wanavyojijuanimecheka.last line😀😀...hata mm ya kwao nayajua yootr yeye hata hayajui😀
Hili wala si gumu kulielewa, wameamua tu kuwa wabishi 😀Kuna mdau humu alianzishaga uzi kwamba mtu akitaka kuoa/kuolewa at least atafute mtu wa rika lake.
Kuna baadhi ya mambo mtaendana sana hata kwenye kupiga stori mtashea vitu ambavyo wote mme
vi experience na mnavijua.
Mfano kijana wa early 80's mpaka late 90's akaoa vibinti vya 2000+ hapo hata stori za kupiga hamna.
Sana sana wewe mwanaume utatumia muda mwingi kumwelekeza vitu vingi na kumsimulia enzi zako.
Umekaa zako unataka kusikiliza ngoma za miaka ile ya tisini za kina Vyonne chakachaka, Kanda bongo man, Kool&Gang, UB 40 n.k
Kabinti kanataka miziki ya matikiti kudondoka, mtoto kautaka, Sambaratisha moyo wangu, Ndembe Ndembe n.k
KwemaSamaleko 🖐️
Kwema?
Wewe unaweka Kanda Bongo Man kenyewe kanaweka Mpelekee Moto peleka motoKuna mdau humu alianzishaga uzi kwamba mtu akitaka kuoa/kuolewa at least atafute mtu wa rika lake.
Kuna baadhi ya mambo mtaendana sana hata kwenye kupiga stori mtashea vitu ambavyo wote mme
vi experience na mnavijua.
Mfano kijana wa early 80's mpaka late 90's akaoa vibinti vya 2000+ hapo hata stori za kupiga hamna.
Sana sana wewe mwanaume utatumia muda mwingi kumwelekeza vitu vingi na kumsimulia enzi zako.
Umekaa zako unataka kusikiliza ngoma za miaka ile ya tisini za kina Vyonne chakachaka, Kanda bongo man, Kool&Gang, UB 40 n.k
Kabinti kanataka miziki ya matikiti kudondoka, mtoto kautaka, Sambaratisha moyo wangu, Ndembe Ndembe n.k
Nampenda mtoto wa Maria mwenye heri😅😅Wewe wampenda shetani