Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Wamebaki tu "Niambie" nikwambie nini sasa. Wanachosha, chakula nitafute mimi, kitandani nikuchap mimi, stori nako mimi. Nikinyamaza utaambiwa unawaza mademu zako
 
At least saiv wanabishan kuhusu simba na yanga na majlnjesta[emoji1787][emoji1787]katika wanawake 100 unawez pata wa5 ndo wanauwezo wa kufny interaftion ya kiurafk na mwanaume vzr
 
Kuna mdau humu alianzishaga uzi kwamba mtu akitaka kuoa/kuolewa at least atafute mtu wa rika lake.

Kuna baadhi ya mambo mtaendana sana hata kwenye kupiga stori mtashea vitu ambavyo wote mme
vi experience na mnavijua.

Mfano kijana wa early 80's mpaka late 90's akaoa vibinti vya 2000+ hapo hata stori za kupiga hamna.
Sana sana wewe mwanaume utatumia muda mwingi kumwelekeza vitu vingi na kumsimulia enzi zako.

Umekaa zako unataka kusikiliza ngoma za miaka ile ya tisini za kina Vyonne chakachaka, Kanda bongo man, Kool&Gang, UB 40 n.k

Kabinti kanataka miziki ya matikiti kudondoka, mtoto kautaka, Sambaratisha moyo wangu, Ndembe Ndembe n.k
 
Hili wala si gumu kulielewa, wameamua tu kuwa wabishi 😀
 
Wewe unaweka Kanda Bongo Man kenyewe kanaweka Mpelekee Moto peleka moto
 
Back
Top Bottom