johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Hahahaaa.......!Ni utaahira mkubwa sana kuiunga mkono CCM.
Hahahaaa.......!Ni utaahira mkubwa sana kuiunga mkono CCM.
Maccm yamebakishiwa akili za kuvukia barabara tu.Ni vigumu sana kuitofautisha CCM na wananchi!
Gharama ya kuendesha vyama vya upinzani ni kubwa kwani mda wote CCM wapo busy kuwahujumu wanatumia pesa nyingi kujipinda kujihami kuzua kila mabaya ya CCM hasa utawala huu ulioshamiri kwa kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali.Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi
Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM
Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki
Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu.
Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za kuendesha chama hata kama chama hicho kinapokea ruzuku ya zaidi ya sh milioni 300 kila mwezi na kimepanga kota moja tu ya NHC ya vyumba vinne.
Kiukweli kuwa mpinzani hapa bongo ni lazima ujitoe ufahamu vinginevyo unaweza kufa kihoro.
Wednesday njema,
Maendeleo hayana vyama!
Maccm yamebakishiwa akili za kuvukia barabara tu.View attachment 1241517
Hahahaaa..... hahahaaa..... Lakini CC yake na NEC zinakutania Ikulu usisahau hilo!
Imebidi nicheke kwa hasira!CCM yote sasa wanawategemea Le mutuz na cyprian Musiba kwenye propaganda, jiulize kama chama kikubwa kama CCM kinawategemea viumbe kama hao wawili wengine watakuaje?
Wewe na Dr. Bashiru nani ana akili zaidi....?
"Wenye akili wameshaona... "
CCM ina miradi ya kuiwezesha kujipatia mapato ya kujiendesha.CCM huchukua pesa Hazina BOT kienyeji mda wowote wakitaka wakiwa na mahitaji yao ni watumiaji zaidi wa pesa za umma lakini kwa kuwa wapo juu ya Sheria hakuna chama cha upinzani kinathubutu kuwahoji
Imebidi nicheke kwa hasira!
Kibajaji alikuwa na cheo kikubwa alipokuwa Chadema!Bungeni CCM huwatumia Kibajaji, msukuma na yule mbunge wa kilombelo ndipo ujue CCM wapoje sasa
Mkuu nimecheka kwa sauti, eti nini????? Fisiemu na wananchi......!!!!!! Huoni hapa juzi kati wananchi wote walikuwa na furahaNi vigumu sana kuitofautisha CCM na wananchi!
MmawiaNdio maana wengi wameamua kujipa kazi izrael mtoa roho za watu!
Cc.Mmawia
CCM ina miradi ya kuiwezesha kujipatia mapato ya kujiendesha.
Chadema kwa mfano wanategemea ruzuku tu!
Mkuu nimecheka kwa sauti, eti nini????? Fisiemu na wananchi......!!!!!! Huoni hapa juzi kati wananchi wote walikuwa na furaha
Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi
Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM
Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki
Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu.
Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za kuendesha chama hata kama chama hicho kinapokea ruzuku ya zaidi ya sh milioni 300 kila mwezi na kimepanga kota moja tu ya NHC ya vyumba vinne.
Kiukweli kuwa mpinzani hapa bongo ni lazima ujitoe ufahamu vinginevyo unaweza kufa kihoro.
Wednesday njema,
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee umeshapanic........ hahahaaa ndio moyo wenyewe wa uendawazimu ulio nao!Ndio upumbavu wa akili yako ulivyokutuma. Umeambiwa wapinzani wanakuhitaji wewe?
Acha kabisa kunikejeri, leo iwe mwanzo na mwisho kiniambatanisha na CCM, wewe kilaza na mpumbavu mla mbavu.Ni vigumu sana kuitofautisha CCM na wananchi!
Huipendi lakini unaikubali!
Kuifananisha CCM na wananchi ni kuikosea adabu, CCM huwezi ukaitofautisha na rushwa, kura za maoni kwa upande wa CCM zimefutwa kwa sababu ya rushwa ya CCM.Ni vigumu sana kuitofautisha CCM na wananchi!