Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

CCM kuna demokrasia pana!
Huitendei CCM haki,Membe ni mwanachama wa CCM,lakini tangu alipoanza kutoa mawazo yake ya kutowafautiana na wanaccm wenzake,tayari mmeshamuweka kwenye kapu la watu wanaotakiwa kukatwa kichwa,na hiyo ndio demokrasia pana ya CCM ambayo inatakiwa kuungwa mkono na mwanachama yeyote wa CCM mpya.
 
Ki
Hahahaaa..... hahahaaa..... Lakini CC yake na NEC zinakutania Ikulu usisahau hilo!
Kinyume cha maumbile,hata mwalimu pamoja na kuwa ilikuwa chama kimoja hakuwahi kufanya hiyo kufuru. Mnaju wazi mnakosea isipokua huo ni ulimbukeni wa kisiasa(kujimwambafai) kwa wana CCM wa Leo waliokosa kujiamini, wanaona wakifanya hivyo watu wataona CCM ndio serikali jambo ambalo sio kweli.
 
Na ukiwa fisiemu inabidi ujitie upunguani na kujisahaulisha kwamba hivyo fisiemu inavyotamba navyo kuvimiliki ni mali ya wananchi!
Ndio ni Mali za wananchi, kwa kuwa ccm ni chama cha wananchi.

Ama kweli mleta mada kapatia,kuwa mpinzani inatakiwa uwe na upunguani fulani
 
Mna vyote hivyo wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, hakuna tume Hutu ya uchaguzi lakini bado kuna wanaopooza mkono na mguu kwa hofu ya uchaguzi.
 
CCM huchukua pesa Hazina BOT kienyeji mda wowote wakitaka wakiwa na mahitaji yao ni watumiaji zaidi wa pesa za umma lakini kwa kuwa wapo juu ya Sheria hakuna chama cha upinzani kinathubutu kuwahoji
EPA, EPA, EPA; ESCROW, ESCROW, ESCROW; tusubiri mwakani.
 
Mna vyote hivyo wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, hakuna tume Hutu ya uchaguzi lakini bado kuna wanaopooza mkono na mguu kwa hofu ya uchaguzi.
,2020 watu wanauwa nyani bila kumuangalia usoni.....Upinzani utakuwa historia!
 
Upinzani mnauongezea utambi haufi na mtakufa nyinyi mashetani wapenda madaraka.
Huu upinzani wa ruzuku mwisho 2020.......labda kama bado tunao akina Mapalala wengine watatuletea upinzani wa kweli siyo huu wa kimbege mbege!
 
uko sahihi, japo ungekuwa sahihi zaidi ungesema siasa za Tanzania.maana siasa za Tanzania zinashirikisha hadi polis, yaani polis badala ya kulinda usalama Wa RAIA na Mali zao kwa kufuata sheria wanaingia kwenye vyama.hatari sana.
 
Hongera hii ndo dunia na hili jambo Mh Rais alitakiwa kulijua kuwa sio lazima wote waelewe kuwa CCM ni nzuri tunapishana mawazo sasa yee anataka aliwazalo yeye nchi nzima tulikubali na kulishangilia watu hawafanani leo wewe unasema Amber Ruty siwezi kumuoa ila kuna mtu anamlia mpaka kamasi linamtoka.
JIWE HEBU KUBARI UPINZANI NI UPO TU HATA KAMA UKIWACHUKIA
Nilikuwa CDM ila kwa sasa siipendi kupita kiasi.
 
Swala siyo akili bali uhalisia.

Nenda kwenye kura za maoni za CCM ndio utajua kama watu wamejiandikisha......yaani ni nyomi kila mtaa!
Jibu ulichoulizwa acha kujitia ukhamsini rasi bin khamsin majnuni... Akili zako zinashinda za Dr. Bashiru?
 
Back
Top Bottom