Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

Angeanza kwanza na USHAHIDI WA MBINGUNI NA DUNIANI..... tuujuwe

Vinginevyo, binafsi naona ni YALE YALE TU
 
Mwigulu you are among the suspects who plotted this assassination dont try to fool us.if you are clean allow Fbi or any other foreign investigation body we will respect you
 
yeye mwenyewe mhusika mkuu
 
Mwingulu ameshindwa Kabla ya kuanza...akikaa kimya ni busara zaidi ya anavyoongea visivyojulikana
 
Muulizeni Mwigulu alienda kumuaona Nairobi Lissu asituletee maigizo kwan hajui asiyejulikana ni Bashite na anatumwa na mista misifa
 
Hapo sasa imeshaandaliwa bonge la changa ya macho, kuna watu wanatakiwa kutolewa kafara. Ila huu mpango utabuma tu.
 
UONGO MTUPU! Ben Saanane mwaka sasa hajulikani alipo, aliyemtolea bastola Nape hawamjui, mmiliki wa magari yaliyokuwa yanamfuatilia lissu hawamjui, aliyemteka na kumtesa Roma hawamjui, waliolipua ofisi za mawakili hawawajui.
Wizara ya mambo ya ndani uzembe wa hali ya juu.


 
Asiwatie mbaroni hao wa Tundu Lisu tu bali aanze na wale wa Arusha Olasiti, wale waliomuua Mawazo na Saanane. Akiweza hayo, tutajua kweli ana kiu ya kumaliza genge la wasojulikana

Nyumbu hajijui NA wala hajui alitakalo
 
Mkuu inaonekana unajua mengi wanaweza kuanza na wewe ili uelezee huo uzembe wa wizara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…