Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kwahiyo walitaka kukuua presha
Ukataka hadi ujiue🤣🤣🤣🤣

Lakini hizi complications ni vyuo vyote vya Tanzania..
Hasa vya serikali..
Wanaona raha kumkomoa mwanafunzi.
 
Staki kukumbuka jinsi shule ya udsm ilivonitesa na hyo research walimu wamekumbatia ujinga nusu nijiue hafu kuja kazini aisee research ya huko rahisi waweza enda hata wilaya within short time na report ikakamilika. Udsm wabadilike waache ushenzi
... duh; pole sana hadi kuwaza hivyo seems waliku-harass sana! Hilo li-supervisor litaje vyombo husika vilifungulie kesi ya ku-harass jinsia. Mbaya sana.
 
Sure..
Naona wengi wanambeza jamaa kwamba ni kilaza.


Mimi ndugu yangu undergraduate amesoma hapohapo.
Na postgraduate pia,,ila hiyo postgraduate hadi ameipata ni amesoma🤣,almost 4 yrs.

Unampelekea kazi supervisor mara hayupo,mara amesafiri,yaani excuses kibao.
Na mtu anasoma hapo ana familia,,,unazidi mpotezea Muda.
 
Wengi hawajui hicho mtu postgraduate anajua anachokifanya kabisa na wengi hukesha library tatizo ni wahadhiri. Sasa mtu anakaa na kazi miezi miwili akurudishie Tena ufanye kukurudishia Tena mwezi mda unakuwa unaenda tu wao hawajali Wala Nini, na ukiwa mkoani ukituma softcopy wasaishe online wahadhiri wengine hawajui wanataka kazi ya paper tu. In short pale swala sio ukilaza ni jinsi ya udsm ikificha research wahadhiri hawana mda wanafunzi wanakuwa ka yatima. Nenda pale uone watu wanavolia Tena watu wazima wenye familia zao na chuo hawana mda.
 
Kwahiyo walitaka kukuua presha
Ukataka hadi ujiue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakini hizi complications ni vyuo vyote vya Tanzania..
Hasa vya serikali..
Wanaona raha kumkomoa mwanafunzi.
Nilichoka kweli yani hafu saa nyingine ilisharekebishwa yule mtu hasemi anakurudishia tu haijaguswa ili usumbuke.
Watanzania tupunguze kutesana tuwe problem solver if you can help someone please rahisisheni maisha.
Hafu ma classmate wangu niliwaacha wanateseka mpaka Leo wake zao kulia tu. Huyo mmoja alitakiwa aongeze elimu apande cheo mpaka Leo hola Huwa anajipigia zake bia [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mbna naogopaa, maana nataka kuunga moja kwa moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnanitishaa mbna nataka kuunga moja kwa moja, uwiiiiih
 
Sasa shule gani ya kifala hivi kama unatafuta ufalme wa mbinguni, kumbe li cheti la hapo jalalani.

Wakati graduate wao na ma_prof/drs hamna maajabu wanafanya huku mtaani, yaani impact zero.
 
... na huo ujingaa upo zaidi kwa supervisors wa kiume; ukimpata profesa jinsia ya kike at least wana nafuu.
Shida pale kazi yako ikienda Kwa internal wa kiume in short wameweka usumbufu usio na tija. Taasisi ikiona mambo hayaendi why msiite mwanafunzi aeleze changamoto na ni wapi afanye amalize.
Ardhi university wao wanajitahidi mwanafunzi ukilega wanakuuliza tatizo ni Nini na wanakupa back up umalize mapema.
 
Anza tu usiogope Wala Nini utatoboa ila waliotoka vyuo vingine huteseka kuanzia assignments si mchezo,mwaka mmoja wa course work ni sawa na miaka 3 ya undergraduate. Assignment zote ni wewe na desa nilikuwaga silali.
So nenda ukiamini utatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…