Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwahiyo walitaka kukuua presha[emoji2][emoji2] unaweza kufa kabisa Kwa depression hafu ukija makazini unaona chuoni ulikuwa una soma ujinga. Nawashauri watu wasi rely kwenye haya madesa yetu wawe wanaingia online au YouTube kusoma classes ya mambo Yao ili wawe deep, hii ya udsm watakupa stress na kitu ambacho relevance yake kazini ni ndogo mno
Ukataka hadi ujiue🤣🤣🤣🤣
Lakini hizi complications ni vyuo vyote vya Tanzania..
Hasa vya serikali..
Wanaona raha kumkomoa mwanafunzi.