Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

we umeshashidwa mambo ya elimu bora ukae kimya.
 
Kuna ubaya gani kuwa na wahadhiri kutoka nje kama wamefuata taratibu? Unajua kwanini elimu ya chuo kikuu ni university based? Na ndio maana vyuo vikaitwa universities? Nahisi tatizo lako ni lack of exposure.
 
[emoji1787]
 
Ndio namwambia Coca asiwasikilize wanaombeza mtoa mada
Maana hata wewe unayetoa malalamiko ni zao la hapohapo tangu 1st degree.
 
Nyie WaTz acheni upumbav, level ya Masters sio ya kusoma ni kuinjoi exposure tu, ni kama kwenda live band kuinjoi mziki na kunywa bia kwa mbali ukitazama mishangaz ikicheza mziki... Lengo la kusoma Master ni kupata Managerial Exposure sio vinginevyo... Ni upumbav wenu tu wakuchukulia shule/elimu serious ili mkaringishie wenzenu kijijini kwenu...
 
💯
 
Practical application kibongobongo ni majanga. Ni mwendo wa theories na kukariri. Masuala ya applicability utajua mwenyewe.
 
😁Mimi nilikimbia kwa kweli, UDSM Wanamqkusudi sana
 
MSIJIFANYE HAMJAONA COMMENT YA JAMAA PALE MWANZONI MWANZONI ANAULIZA KWA MSHANGAO SANA KWAMBA BADO KUNA AMBAO MNAENDELEAGA TU KUPIGA MSULI HADI MASTERS [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni ndogo yangu KUPIGA mpk masters
 
Kama hufanyi kazi za kitafiti au kufundisha vyuo vikuu hakuna haja ya kusoma zaidi ya ngazi ya shahada (degree). Elimu ya shahada ni kubwa sana zaidi ya hapo ni kupoteza muda.
 
Umefanya utafiti Gani kujua kuwa Uingereza Kuna vyuo vitatu tu vigumu? Unalinganisha Uingereza na Kenya au? Unajua Uingereza Kuna vyuo vikuu vingapi? Kule hakuna chuo Cha level ya yuudom Wala tumaini(ivi hiki chuo mbn Kiko kimya sana siku izi?)
Hivyo ndio vyuo pekee Uingereza ambavyo huwezi kusoma Ph.D bila kusoma miaka miwili ya utafiti kwanza na lazima ufaulu ndipo uruhusiwe kufanya miaka yako mingine mitatu mpaka minne sasa ya ku-clear shule nzima. Kwa wastani utasoma miaka 5/6. Vyuo vilivyosalia vyote unaingia moja kwa moja ndani ya miaka 3/4 utakuwa umemaliza.

Vyuo kama Cambridge, Oxford na LSE kwa Uingereza wanafunzi wao wa Ph.D huanza kupata kazi mwaka mmoja kabla hata ya kumaliza shule. Mara nyingi mpaka mtu ame-clear shule pale tayari anakuwa ameishachapisha si chini ya paper 3 ktk international journals (Bongo mtu mwenye hii quality ni senior lecturer). Hivi vyuo vitatu Uingereza vinafanana kabisa na ivy league universities (Harvard, Stanford, Brown) vya marekani ktk utoaji wao wa elimu.
 
Kimsingi vyuo vingi vipo hivyo, kulingana na mazingira ya kufundishia na sababu zingine. Ila elimu ya chuo inategemea sana juhudi binafsi za mwanafunzi kufahamu dunia ya sasa inahitaji nini na unapataje kinachohitajika.
 
cariha njoo utoe shuhuda hapa mamito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…