Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Nakubaliana na wewe kabisa.
Watu wafupi hupenda kujiconsole ati urefu kitu gani! (Mimi ni mfupi pia ukumbuke). Msukuma ati darasa la saba! Imagine mtu kwa vile alikuwa kilaza ame fluke tu katika maisha, anaona usomi hauna maana. Ukimchunguza sana unaona mapungufu ya kiusomi yapo.

Usomi ni pyramid kama umri ulivyo katika demografia. Kadri shule inavyopanda na idadi ya watu inapungua. Haiwezekani wote tukawa na PhD. Ni sawa na umri wa binadamu. Watoto wanaozaliwa ni wengi kulingana na watoto wenye miaka 5, ukifika miaka 100 survivors wanabaki wachache sana.

Bora kukubalia na ukweli kama sie wafupi tunakubaliana na ufupi wetu maana hakuna jinsi ingawa tungekuwa warefu tunge enjoy.
 
za kupeana ni za akina nani, zinapatikana wapi
 
umeuapproach huu uzi tayari ukiwa na jusyifications zako tayari, na ndio maana umekuwa negative moja kwa moja ilhali ukiiangalia haikuwa na lengo la kumtofautisha na wengine, bali kuwa mfano wa wengi kama yeye ambao kwa sasa bado hawaaminiwi au wanasita kuaminiwa kutokana na kiwango chao cha elimu

na ndio inakuja dhima kamili ya uzi huu, je degree zaidi ya moja ni kigezo pekee kama sio kikuu cha kuaminiwa katika nafasi nyeti???

hasa nikijaribu kuoanisha perfomance na qualifications
 
Hivi MO si ana masters kasoma US?
 
Nawakumbusha tu wakati Nehemia Mchechu anateuliwa na Rais Kikwete kuongoza NHC Serikali ikitukanwa sana wakati huo Waziri mwenye dhamana alikuwa Kapteni John Chiligati alijaribu sana kutoa ufafanuzi lakini 'Makamanda' hawakuelewa
 
MO ana masters ya business administration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…