Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Tena mpambanaji hasa...huyu demu anawazidi akili bongo fleva wengi...nimeangalia interview zake nyingi

Aliponifurahisha ni vile alikuwa anamuuguza mama yake kwa moyo mmoja!
 
Hapo ni kwa wajomba zake,ila kwa ugonjwa wa mama yake angejiandaa hata kwa kupiga hiyo nyumba plasta na sakafu ya block...lolote hutokea unapokua na mgonjwa ambae hawezi kupona
Tena mpambanaji hasa...huyu demu anawazidi akili bongo gleva wengi...nimeanhalia interview zake nyingi

Aliponifurahisha ni vile alikuwa anamuuguza mama yake kwa moyo mmoja!
 
Uwoya wazazi wake wako njema ndo maana ni liboya kazi kuchekacheka tu [emoji16]
 
Sa afadhali hata yeye ana kwao, tena na Nyumba ya Tope ipo.. kuna wengine Tunamponda huku tumezaliwa kwenye Nyumba za Upangaji na mpaka leo tuko Kwenye Nyumba za Upangaji.. infact hatuna kwetu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Sijaona kilicho nyuma ya pazia apo mbona
 
Huyu demu ndo nilimpompigia salute nilivyoona anavyomuuguza mama yake na kwa heshima kubwa!

Ktk mwanaume kama anataka kuoa mwanamke wa kumuoa ndo huyo sasa maana ni ana upendo wa dhati, na uvumilivu mkubwa!

I salute her [emoji119]
 
Luludiva ameuguza kwa miaka sita atapata wap hela za kujenga na kuuguza,kwa ambae hajawah kuuguza huo ugonjwa ataongea ila huo ugonjwa unakula hela sana clinic za kufikia dawa nazo ni kununua kila siku kwangu mimi lulu ni shujaa kuuguza ni kaz sana
Halafu nilikuwa namdharau kweli baada ya video zake za kumuuguza mama yake na interviews zake nikajua kichwani ana kitu[emoji848]

Tofauti na hawa wenzie, basi tu maisha yanamgomea
 
[emoji112][emoji112][emoji112]
 
Kuwa na mchepuko mwenye mawazo kama yako ni kujiingiza katika mdomo wa mamba! Heri uchepuke la lulu diva maana k ni k tu
Ahaaahaaahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza vya nini vyote hivyo si unaona kadanja kaacha kila kitu[emoji848]
 
Hapo ni kwa wajomba zake,ila kwa ugonjwa wa mama yake angejiandaa hata kwa kupiga hiyo nyumba plasta na sakafu ya block...lolote hutokea unapokua na mgonjwa ambae hawezi kupona
Hiyo hela anayo sasa mkuu...uuguze na bado upige plasta ili watu sijui wasikucheke[emoji848]kumbuka yy ndo first n last born hana wa kumsaidia!

Daaah kama mambo yenyewe ndo haya nawashukuru sana kaka zangu kujenga nyumba mpya kijijini kuzaliwa wa mwisho raha asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…