Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Hii ni internal vacancy announcement, wewe inakuhusu nini? Au hujui kizungu, hivi unafikiri ukikimbilia court unapata unachotaka tu, acha wivu wa fisi
Internal vacancy ndo nn wewe!??? Acha ujinga.. internal vacany ndo watu 392?? Afadhali ingekuwa vacancy transfer kidog ingeleta maana lakin hii laleekii hapa hapana
 
Raisi wa kuingilia kati yuko wapi?
 
Afanye interview kama wenzie. Watu wangapi wanakosa hata pa kujitolea? Hivi unadhani ukijitolea NSSF utakosa laki tatu?
 
Nakazia na kusiwe na taasisi inayoajiri yenyewe ajira zote zisimamiwe na utumishi ili watu wapambane huko.
 
Taasisi nyingine wanafanyeje? Huo sio utaratibu wa ajira chini ya utumishi wa uma. Anapaswa na yeye apambane afanye interview ashinde ndio abadilishwe muundo wa utumishi sio mbeleko.
 
Soma mada uelewe kinachojadiliwa ,acha kukurupuka na kuandika upuuzi hapa
 
Halafu humu kuna wakati ulipita upepo wa KIDINI
 
Njia hiyo ikiwa utasimamiwa bila ubaguzi ama kujuana ama bila vimemo,ni mfumo wenye ufanisi kwani atakaye pata nafasi ni mwenye uwezo kwa nafasi atakayo ajiriwa,tofauti na mfumo mlolongo,vimemo,kujuana, mfumo rushwa anuai,tangu,Mafweza, mfumo vipochi ,na ule mfumo watoto vigogo😂
 
Safi sana NSSF. Kwanini msijiajiri kwenye umachinga au bodaboda? Mnapenda kazi za ofisini tu siyo?. Mnataka hao watoto wa vigogo waendeshe bodaboda wapigwe vumbi kama ninyi au wapate ajali?
Hasara ya kufikiria kwa kutumia tumbo hii, mwandiko wenyewe haueleweki, ulivyoumbwa inaonyesha ubongo wako uko tumboni na tumbo lako lipo kichwani
 
Hasara ya kufikiria kwa kutumia tumbo hii, mwandiko wenyewe haueleweki, ulivyoumbwa inaonyesha ubongo wako uko tumboni na tumbo lako lipo kichwani
Ubongo ungekuwa tumboni nikila si ungeharibika? Hata useme nini lakini nakazia: Watoto wa vigogo hawawezi kuendesha bodaboda. Wakipata ajali je? Unataka wafe kama watoto wa walalahoi? NSSF haiwezi kuajiri walalahoi. Mtaiba. Kenge nyie.
 
Tuambie kidogo hiyo manual ya NSSF inasemaje kwenye kuajiri bila kushindanisha watu?
 
Acheni ROHO za kwanini..... ndio maana PSRS wanaskiliza hoja HAFIFU ya MTOTO wa MASKINI wanaenda peleka Malonya lonya ktk sehemu zinazohitaji AKILI kubwa.

Kuwa Mtoto wa MASKINI hakukupi tiketi ya AJIRA.

Wekeni HOJA Mezani na sio UBISHI wa KIBINAFSI.
 
Haki kwenye inajira siku zote inadai kila nafasi ya ajira igombaniwe kwa haki na watu wote wenye sifa!! Hawa wanaokingiwa kifua kukwepeshwa ushindani wa wazi lazima tuna wasio wasi na uwezo wao!! NSSF hamna haki ya kushindanisha "wa ndani" wakati hili ni shirika la umma linalogharimiwa na kodi za watanzania wote!
 
Tatizo la watanzania ni kama mandondocha.
Hili jambo lilitarajiwa baada ya tume ya ajira kupokwa mamlàka ya kuajiri na taasisi kutaka zianze kuajiri direct.
Hapa ndipo mlitakiwa kupiga kelele!
Kwasasa ni kelele za chura tu
 
Tatizo la watanzania ni kama mandondocha.
Hili jambo lilitarajiwa baada ya tume ya ajira kupokwa mamlàka ya kuajiri na taasisi kutaka zianze kuajiri direct.
Hapa ndipo mlitakiwa kupiga kelele!
Kwasasa ni kelele za chura tu
Tunawazaga matumbo yetu tu sisi malalamiko fc. Hayo ya tume hatukujua yanamaana gani mpaka tunapouoana msosi halafu tunaambiwa si wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…