KimpaGhasha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 327
- 459
Waliopata kazi kupitia mchakato upi wakati huu ndo kwanza unaanza hapaKwa hiyo vijana waliopata kazi wafukuzwe, au vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopata kazi kupitia mchakato upi wakati huu ndo kwanza unaanza hapaKwa hiyo vijana waliopata kazi wafukuzwe, au vipi?
Hiki kidog ndo kilichopatikana na ulazimishe kingi usichokijua kinakuja liniBadala ya kulalamika Serikali ilete Sera za kuongeza Ajira watu wapate ujira unalalamika na kungangania na mwendelezo wa kugawana kidogo (badala ya kuongeza hicho kidogo kiwe kingi)
Internal vacancy ndo nn wewe!??? Acha ujinga.. internal vacany ndo watu 392?? Afadhali ingekuwa vacancy transfer kidog ingeleta maana lakin hii laleekii hapa hapanaHii ni internal vacancy announcement, wewe inakuhusu nini? Au hujui kizungu, hivi unafikiri ukikimbilia court unapata unachotaka tu, acha wivu wa fisi
Kwani post namba moja imesemaje?Waliopata kazi kupitia mchakato upi wakati huu ndo kwanza unaanza hapa
Raisi wa kuingilia kati yuko wapi?Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Afanye interview kama wenzie. Watu wangapi wanakosa hata pa kujitolea? Hivi unadhani ukijitolea NSSF utakosa laki tatu?Mtu kajitolea kifanya kazi muda mwingine anapewa hela ya nauli tu leo ajira zimetoka akose dah inaumiza bora wawe kipaumbele nao wasuuzike nafsi. Mtu kajitolea zaidi ya mwaka anasugua tu hajui lininataajiriwa na bado anapiga kazi leo kashaizoea kazi na bahatinimekuja mnataka kuziba rizikinyake.
Nakazia na kusiwe na taasisi inayoajiri yenyewe ajira zote zisimamiwe na utumishi ili watu wapambane huko.Bado naamini PSRS ni sehemu salama zaidi kwenye ajira, PSRS ifanyiwe maboresho makubwa kama kuajiri watumishi wengi wa kuwezesha michakato ya ajira kwa haraka na wepesi lakini hili la Taasisi kuajiri wenyewe malalamiko ni mengi sana na CCM ikifanya mzaha itachochea Chuki na hasira kwa vijana na inaweza kupelekea maamuzi ya hasira 2025.
Kilichofanywa na NSSF kitafanywa kwingine kama kisipodhibitiwa.
1. Mchakato wa ajira uwe wazi na huru kwenye taasisi za serikali hata kama taasisi zinaajiri zenyewe basi pasioneshe namna ya upendeleo wowote.
2. Kujitolea ni sawa lakini kisiwe kigezo Cha ajira maana huko mbeleni tutashuhudia makubwa kwenye kujitolea. Kama kitatumika kama kigezo, nafasi za kujitolea zitaadimika na kufanya zitolewe Kwa upendeleo.
3. Mpaka mtu kaamua kujitolea yanakuwa ni mapaenzi binafsi ya mtu hivyo isitumike kama njia ya kumuajiri moja kwa moja kama kumlipa hisani au fadhila anayefanya hivyo.
Tafadhali Rais Samia tazama hili suala kwa jicho la tatu, rejesha michakato ya ajira UTUMISHI
Taasisi nyingine wanafanyeje? Huo sio utaratibu wa ajira chini ya utumishi wa uma. Anapaswa na yeye apambane afanye interview ashinde ndio abadilishwe muundo wa utumishi sio mbeleko.Haiwezekani mtumishi ndani ya taasisi ajira yake education level ilikuwa diploma,then aka upgrade na kuwa bachelor holder. Halafu nafasi inapatikana ya mtu mwenye bachelor utegemee achukuliwe wa nje ya taasisi, hiyo never. Na ndio maana Kuna internal recruitment
Soma mada uelewe kinachojadiliwa ,acha kukurupuka na kuandika upuuzi hapaHalfu mleta mada uwe na uhakika na jambo ndiyo ulitolee maelekezo,unajua ya kuwa shirika linaongozwa na bodi so maamuzi mpaka kufikia hapo bodi imeyapitia kabla ya utekelezaji sioni upendeleo waliofanya NSSF naona wakitoa fursa kwa watanzania kwanza NSSF ni taasisi ya serikali iliyo kaa muda mrefu bila kuaajiri kwahiyo acha mfuko uajiri upate nguvu kazi ya kutosha usiponufaika wewe kwenye kupata ajira zao basi atakuja nufuaika hata mtoto wako, mjukuu wako,kitukuu wako,shangazi na mjomba wako so usione kama mfuko unabagua watanzania wanaopatiwa hao pia ni watanzania usiweke roho ya kinyonge, watanzania wengi wamekaa njee ya ajira za serikali kwa muda tangu uongozi wa magufuli sasa acha mifuko na taasisi zingine za serikali ziajiri
Halafu humu kuna wakati ulipita upepo wa KIDINIHaiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Njia hiyo ikiwa utasimamiwa bila ubaguzi ama kujuana ama bila vimemo,ni mfumo wenye ufanisi kwani atakaye pata nafasi ni mwenye uwezo kwa nafasi atakayo ajiriwa,tofauti na mfumo mlolongo,vimemo,kujuana, mfumo rushwa anuai,tangu,Mafweza, mfumo vipochi ,na ule mfumo watoto vigogo😂Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Hasara ya kufikiria kwa kutumia tumbo hii, mwandiko wenyewe haueleweki, ulivyoumbwa inaonyesha ubongo wako uko tumboni na tumbo lako lipo kichwaniSafi sana NSSF. Kwanini msijiajiri kwenye umachinga au bodaboda? Mnapenda kazi za ofisini tu siyo?. Mnataka hao watoto wa vigogo waendeshe bodaboda wapigwe vumbi kama ninyi au wapate ajali?
Kanuni gani hiyo imefuatwa wakati sera ya ajira onakata watu washindane kwenye usaili ndio atakayeshinda aajiriwe.Mbona hakuna shida kuajiri from internal source either way external or internal ni watanzania hao hao wanaopewa au kuna wakenya hapo mkuu...kanuni zimefuatwa ninaamini
Ubongo ungekuwa tumboni nikila si ungeharibika? Hata useme nini lakini nakazia: Watoto wa vigogo hawawezi kuendesha bodaboda. Wakipata ajali je? Unataka wafe kama watoto wa walalahoi? NSSF haiwezi kuajiri walalahoi. Mtaiba. Kenge nyie.Hasara ya kufikiria kwa kutumia tumbo hii, mwandiko wenyewe haueleweki, ulivyoumbwa inaonyesha ubongo wako uko tumboni na tumbo lako lipo kichwani
Tuambie kidogo hiyo manual ya NSSF inasemaje kwenye kuajiri bila kushindanisha watu?Tasisi zote zinayo Human Resource Policies Manual.
Manual hii ndio msingi wa tangazo kama hili.
Kwa hiyo, unaweza kukosoa tangazo hili kwa kuanzia katika manual hiyo.
Vinginevyo unakuwa huna uhakika na unalolisema.
Utaonekana hujawahi kufanya kazi katika taasisi kubwa kama NSSF unayoitaja.
Utafiti mwema.
Sisi wenye eskiperiensi je?Nimenunua bandari zote, nahitaji vijana wenye degree na masters waje kuwa makuli.
Tunawazaga matumbo yetu tu sisi malalamiko fc. Hayo ya tume hatukujua yanamaana gani mpaka tunapouoana msosi halafu tunaambiwa si wetu.Tatizo la watanzania ni kama mandondocha.
Hili jambo lilitarajiwa baada ya tume ya ajira kupokwa mamlàka ya kuajiri na taasisi kutaka zianze kuajiri direct.
Hapa ndipo mlitakiwa kupiga kelele!
Kwasasa ni kelele za chura tu