kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Upo sahihi kabisaNafasi za ajira lazima ziwe wazi kwa watanzania wote weye sifa!! Siyo kinyongo bali ni kupigania haki!! Hao waliopewa hiyo mikataba kwanza haikuwa kwenye ushindani wa wazi!! Watu wamepachika ndugu zao hapo, hii haikubaliki!!
Mzee hizo nafasi za kujitolea tu Huwa hazipatin kwahiyo waache ubabaishajiMtu kajitolea kifanya kazi muda mwingine anapewa hela ya nauli tu leo ajira zimetoka akose dah inaumiza bora wawe kipaumbele nao wasuuzike nafsi. Mtu kajitolea zaidi ya mwaka anasugua tu hajui lininataajiriwa na bado anapiga kazi leo kashaizoea kazi na bahatinimekuja mnataka kuziba rizikinyake.
Nakumbuka wakati fulani hili shirika liliwahi kuwa na upendeleo wa kidini kwwnye ajiraHilo ni chaka ipo Taasisi moja HR antokea kanda fulani,mbaya zaidi alichukua vijana 10 wa intership wote wanatokea sehemu moja bila aibu na watu waliomba intership kinoma .
Baada ya ajira wakaanza kuajiriwa wale wa intership kwa kuandika barua kwend utumishi na interview walifanya geresha ,kazi zilipoanza wale 10 maana nafasi zilikuwa kama 40 kwa hiy6 palikuwa na wapya 30.
Wala 10 wakawa masnitch dhidi ya wenzao kwa maana wamepenyezwa.
Mbona mnamuhukumu/mnatumia fimbo kumchapia Rais wakati na yeye wanamzunguka ndo mnayo mpa uongo/ mambo kama haya sasa yanayotekea...hii kauli ni ya mchechu kutoka kwa wakuu wa taasisi na wenyeviti wa boardEti leo ndio tumeamka.
Siku ile Rais alipotangaza mashirika yaajiri yenyewe hakuna aliyehoji.
Maamuzi makubwa makubwa ya kitaifa anaachiwa yule Mama. Watu Milioni 60 tunaweka rehani maisha yetu kwenye kichwa cha mtu mmoja.
Dhana na zama za "Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chama" bado tunazo.
Huu mkataba ni wa kuutazama, hatuwezi uza nchi hivi hivi. Tuthimameni kupinga ukoloni. Nasema hii nchi si shamba ya bibi.Sitaki wenye expiriensi mtaniibia, nyie mkagombee uenyekiti wa vitongoji huko.
Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea zinawekwa wazi na watu wanashindanishwa au mtu tu analeta ndugu yake aje ajitolee. Imagine kila kigo kaingiza watu wake hadi wamefika zaidi ya 300. Halafu unawapa ajira kwa kisingizio cha kujitolea. Unafikiri kwa mwendo huu mtoto wa mkulima atapata kazi?Mtu kajitolea kifanya kazi muda mwingine anapewa hela ya nauli tu leo ajira zimetoka akose dah inaumiza bora wawe kipaumbele nao wasuuzike nafsi. Mtu kajitolea zaidi ya mwaka anasugua tu hajui lininataajiriwa na bado anapiga kazi leo kashaizoea kazi na bahatinimekuja mnataka kuziba rizikinyake.
Hao wanaojitolea wameshindanishwa na nani hadi wakapata nafasi ya kujitolea?Acheni ROHO za kwanini..... ndio maana PSRS wanaskiliza hoja HAFIFU ya MTOTO wa MASKINI wanaenda peleka Malonya lonya ktk sehemu zinazohitaji AKILI kubwa.
Kuwa Mtoto wa MASKINI hakukupi tiketi ya AJIRA.
Wekeni HOJA Mezani na sio UBISHI wa KIBINAFSI.
Mama hana muda huo, kwanza sidhani kama kuna mtoto wake hata mmoja mwenye shida ya ajira.Inaumiza sana, inauma sana Iv Sheria ni nini? Democracy ni nini? Tunu za taifa ni nini, kwanini haya mambo wanayapuuza Ivi, dharau za wazi wazi, watu wanalifanya taifa kama familia Yao! Lolote watakalo wanalifanya na hii iwekwe wazi ni dharau kwa Rais wetu, yote haya wanataka kumchafua Tu sio kwa huu uzembe wa NSSF.
Hujasoma tangazo la NSSF vizuri kwahiyo hujui unachocomment hapa. Rudia kulisoma utaona kitu. Wanaotakiwa kuomba ni wenye "fixed contract" tu.Bila kushindanisha watu?
Nop! Wanashindanishwa watu wa ndani kwanza.
Akikosekana mwenye sifa anatufutwa mtu wa nje.
That is how many employers retain and promote best employees.
Is this new to you?
Gosh!
Wamepatajae kazi? Na zilitangazwa lini?Kwa hiyo vijana waliopata kazi wafukuzwe, au vipi?
Ni shida ya wanajf wengi wanapenda kuchangia bila kusoma kwanza ndio kama huyu sasa!Hujasoma tangazo la NSSF vizuri kwahiyo hujui unachocomment hapa. Rudia kulisoma utaona kitu. Wanaotakiwa kuomba ni wenye "fixed contract" tu.
Nimeshanunua imeisha hiyoHuu mkataba ni wa kuutazama, hatuwezi uza nchi hivi hivi. Tuthimameni kupinga ukoloni. Nasema hii nchi si shamba ya bibi.
Wanasoma mistari miwili ya kwanza na yamwisho then wanatirirka kukomentiNi shida ya wanajf wengi wanapenda kuchangia bila kusoma kwanza ndio kama huyu sasa!
Kodi unalipia matakπ π wakati huna ajira, hembu kaa kimya maskini weweLazima watanzania kwa umoja wetu tukatae huu ubaguzi!! Haiwezekani kodi tulipe wote lakini kundi moja dogo lijifanye kana kwamba NSSF ni yao binafsi!! Wakiachwa wakafanikiwa katika ubaguzi huu Tanzania itakuwa ya mabaka!! Na taasisi zingine zitaiga huu ubaguzi wa NSSF, kijana akimaliza chuo tu anapewa kujitolea mahali au anapewa mkataba halafu baadaye anatangaziwa nafasi za ajira kwa "walioko ndani". Wengine wakimaliza chuo wanabanana mitaani wakati wenzao wameingizwa ndani!!
Hasara ya kuvimbiwa hii ubongo lazima ugeuke uwe ujiuji ukizungukwa na kamasi, unalichokiandika ndo matokeo ya kamasi iz, hii inaonyesha namna ulivyokilaza na malezi ya ovyo uliyopewa, dah watu najisi wanazidi kuongezeka na sio bure ni dalili mmojawapo yaπ laana mkubwa kabisaMtoto wa kigogo= kigogo
Mtoto wa mkulima= mkulima
Mtoto wa nyoka = nyoka
ππ Sio lazima wote tukae ofisini wengine kalimeni viazi, tupate michemsho wakati wa lunch na bei tutawapangia msisahau
Utumishi walitutesa sana, ni zamu yetu hii
Waraka utakuja mpaka unaposwali.Nimeshanunua imeisha hiyo
Jikite kwenye hoja, ofisi ni chache mtatosha wote...? Acheni wachache waliobahatika wachukue nafasi wamezihangaikia ujue mbwa weweHasara ya kuvimbiwa hii ubongo lazima ugeuke uwe ujiuji ukizungukwa na kamasi, unalichokiandika ndo matokeo ya kamasi iz, hii inaonyesha namna ulivyokilaza na malezi ya ovyo uliyopewa, dah watu najisi wanazidi kuongezeka na sio bure ni dalili mmojawapo yaπ laana mkubwa kabisa
Tatizo ni moja, VIJANA wengi wanategemea TANGAZO lipostiwe Ndio waombe kitu ambacho si sahihi.Hao wanaojitolea wameshindanishwa na nani hadi wakapata nafasi ya kujitolea?
PSRS wanaangalia umasikini wa mtu au alama zako kwenye usaili?
Ishu sio kwamba wasomi wote waajiriwe na serikal tunachopigania Sisi uwepo Mfumo wa uwazi na haki katika utoaji wa izo Ajira.Jikite kwenye hoja, ofisi ni chache mtatosha wote...? Acheni wachache waliobahatika wachukue nafasi wamezihangaikia ujue mbwa wewe