Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Mtu kajitolea kifanya kazi muda mwingine anapewa hela ya nauli tu leo ajira zimetoka akose dah inaumiza bora wawe kipaumbele nao wasuuzike nafsi. Mtu kajitolea zaidi ya mwaka anasugua tu hajui lininataajiriwa na bado anapiga kazi leo kashaizoea kazi na bahatinimekuja mnataka kuziba rizikinyake.
Mzee hizo nafasi za kujitolea tu Huwa hazipatin kwahiyo waache ubabaishaji
 
Hilo ni chaka ipo Taasisi moja HR antokea kanda fulani,mbaya zaidi alichukua vijana 10 wa intership wote wanatokea sehemu moja bila aibu na watu waliomba intership kinoma .

Baada ya ajira wakaanza kuajiriwa wale wa intership kwa kuandika barua kwend utumishi na interview walifanya geresha ,kazi zilipoanza wale 10 maana nafasi zilikuwa kama 40 kwa hiy6 palikuwa na wapya 30.

Wala 10 wakawa masnitch dhidi ya wenzao kwa maana wamepenyezwa.
Nakumbuka wakati fulani hili shirika liliwahi kuwa na upendeleo wa kidini kwwnye ajira
 
Eti leo ndio tumeamka.

Siku ile Rais alipotangaza mashirika yaajiri yenyewe hakuna aliyehoji.

Maamuzi makubwa makubwa ya kitaifa anaachiwa yule Mama. Watu Milioni 60 tunaweka rehani maisha yetu kwenye kichwa cha mtu mmoja.

Dhana na zama za "Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chama" bado tunazo.
Mbona mnamuhukumu/mnatumia fimbo kumchapia Rais wakati na yeye wanamzunguka ndo mnayo mpa uongo/ mambo kama haya sasa yanayotekea...hii kauli ni ya mchechu kutoka kwa wakuu wa taasisi na wenyeviti wa board
JamiiForums1472858953.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mtu kajitolea kifanya kazi muda mwingine anapewa hela ya nauli tu leo ajira zimetoka akose dah inaumiza bora wawe kipaumbele nao wasuuzike nafsi. Mtu kajitolea zaidi ya mwaka anasugua tu hajui lininataajiriwa na bado anapiga kazi leo kashaizoea kazi na bahatinimekuja mnataka kuziba rizikinyake.
Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea zinawekwa wazi na watu wanashindanishwa au mtu tu analeta ndugu yake aje ajitolee. Imagine kila kigo kaingiza watu wake hadi wamefika zaidi ya 300. Halafu unawapa ajira kwa kisingizio cha kujitolea. Unafikiri kwa mwendo huu mtoto wa mkulima atapata kazi?
 
Acheni ROHO za kwanini..... ndio maana PSRS wanaskiliza hoja HAFIFU ya MTOTO wa MASKINI wanaenda peleka Malonya lonya ktk sehemu zinazohitaji AKILI kubwa.

Kuwa Mtoto wa MASKINI hakukupi tiketi ya AJIRA.

Wekeni HOJA Mezani na sio UBISHI wa KIBINAFSI.
Hao wanaojitolea wameshindanishwa na nani hadi wakapata nafasi ya kujitolea?
PSRS wanaangalia umasikini wa mtu au alama zako kwenye usaili?
 
Inaumiza sana, inauma sana Iv Sheria ni nini? Democracy ni nini? Tunu za taifa ni nini, kwanini haya mambo wanayapuuza Ivi, dharau za wazi wazi, watu wanalifanya taifa kama familia Yao! Lolote watakalo wanalifanya na hii iwekwe wazi ni dharau kwa Rais wetu, yote haya wanataka kumchafua Tu sio kwa huu uzembe wa NSSF.
Mama hana muda huo, kwanza sidhani kama kuna mtoto wake hata mmoja mwenye shida ya ajira.
 
Bila kushindanisha watu?
Nop! Wanashindanishwa watu wa ndani kwanza.
Akikosekana mwenye sifa anatufutwa mtu wa nje.
That is how many employers retain and promote best employees.
Is this new to you?
Gosh!
Hujasoma tangazo la NSSF vizuri kwahiyo hujui unachocomment hapa. Rudia kulisoma utaona kitu. Wanaotakiwa kuomba ni wenye "fixed contract" tu.
 
Lazima watanzania kwa umoja wetu tukatae huu ubaguzi!! Haiwezekani kodi tulipe wote lakini kundi moja dogo lijifanye kana kwamba NSSF ni yao binafsi!! Wakiachwa wakafanikiwa katika ubaguzi huu Tanzania itakuwa ya mabaka!! Na taasisi zingine zitaiga huu ubaguzi wa NSSF, kijana akimaliza chuo tu anapewa kujitolea mahali au anapewa mkataba halafu baadaye anatangaziwa nafasi za ajira kwa "walioko ndani". Wengine wakimaliza chuo wanabanana mitaani wakati wenzao wameingizwa ndani!!
Kodi unalipia matak😠😠 wakati huna ajira, hembu kaa kimya maskini wewe
 
Mtoto wa kigogo= kigogo

Mtoto wa mkulima= mkulima

Mtoto wa nyoka = nyoka

😂😂 Sio lazima wote tukae ofisini wengine kalimeni viazi, tupate michemsho wakati wa lunch na bei tutawapangia msisahau

Utumishi walitutesa sana, ni zamu yetu hii
 
Hasara ya kuvimbiwa hii ubongo lazima ugeuke uwe ujiuji ukizungukwa na kamasi, unalichokiandika ndo matokeo ya kamasi iz, hii inaonyesha namna ulivyokilaza na malezi ya ovyo uliyopewa, dah watu najisi wanazidi kuongezeka na sio bure ni dalili mmojawapo ya🌈 laana mkubwa kabisa
 
Jikite kwenye hoja, ofisi ni chache mtatosha wote...? Acheni wachache waliobahatika wachukue nafasi wamezihangaikia ujue mbwa wewe
 
Hao wanaojitolea wameshindanishwa na nani hadi wakapata nafasi ya kujitolea?
PSRS wanaangalia umasikini wa mtu au alama zako kwenye usaili?
Tatizo ni moja, VIJANA wengi wanategemea TANGAZO lipostiwe Ndio waombe kitu ambacho si sahihi.

Kuna watu wanatembea na BAHASHA huku na kule wanaenda front kutafuta kazi, sio kwa NSSF tu fatilia MIFUKO yote ya BIMA au yenye mlengo huo uone kama wanatangaza NAFASI za Internship.

Maombi wanapokea ni Mengi individually hivyo wanayachakata kama nafasi ipo mtu anaitwa kuanza.

Usitegemee hata siku moja et wawaite watu kuomba Internship never, watu wenyewe ndio wanaomba.

Haiiingii akilini una request 1000 za Internship alafu utoe tangazo la kuomba watu waombe INTERNSHIP.

USHAURI kwa VIJANA waende FRONT waombe AJIRA/INTERNSHIP popote bila kusubiri TANGAZO wajanja ndio wanaijua hii mbinu wanaenda FRONT mapema na bahasha zao.
 
Back
Top Bottom