Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

WATANZANIA SIO WAJINGA NI KAMPENI IMEANZA HIYO
 

Na huko matumboni amewaunganisha watanzania wangapi?

Je!
Ameweza kudhibiti mfumko wa bei????

Mnakaa kutuimbia kufungua nchi wakati ni kufungua "HAZINA" iporwe!

Mnauza vyakula nje bila tahadhali kuangalia huku kimebaki nini!

Sasa tunaenda kuingia baa la njaa kwa sehemu kubwa,kutokana na ukame unaoinyemelea nchi na sfrika Mashariki kwa ujumla.
Ukianzia huko juu Somalia na sasa uko Northern Kenya,huku ukiwa unabisha hodi Tanzania.

Au mnataka njaa itunyooshe ili CCM muweze kutumia chakula cha msaada wa njaa kwenye kampeni 2025?

Huyo Mama "Nyasafari" wenu,mnampangia safari lukuki,ili mpate mwanya na nafasi ya kuiba!

Na vile mmemjua anapenda kusifiwa,mkishaiba na kuficha,ndio mnasambazwa machawa kama wewe "mshamba" kuja huku kutuletea ujinga wenu!

Hivi wewe na kundi lako mnaijua "HASIRA" iliyoko kwenye vifua vya wananchi hususan walalahoi mitaani.na vijijini?

Hasahasa Machinga wote nchini?
Ambao wamevurugiwa miundombinu yao na hatimae wengi kupoteza raslimali mtaji.

Na hilo ndio kundi kubwa litakaloinufaisha chadema kama wakijua kulitumia ili kumpiga "Mama Nyasafari" chini.

Alamsikhi.
 

Jitahidi atakuona siku moja.
 
Huwa unaandika pumba sana.
Hauna washauri au watoto?.
 
Umemaliza chief.... ukifanya kazi kubwa haina haja ya kujitangaza sana, wanaosema ukweli wa maisha halisi ya mtanzania ndio wanaompenda mh rais Samia lkn kwa hulka zetu anaekusifu kila kitu ni kukaa nae makini ilihal nchi yako unaijua ni masikini
 

Hivi huku Tanzania Hawa watu wajinga hivi wanatokea wapi?
 
Aje huku kusini akomboe zao la korosho. Wakulima wamekataa kuuza korosho zao kwa Bei ya kutupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…