Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

Katika jamii yetu hayo ndo mambo hatari sana kama alivyoainisha mweka mada!, ila kwa wenzetu cyber crime, biological weapons pamoja na nuclear bomb hayo ndo mambo ya hatari kila mtu anayaogopa!.
 
Mambo hatari ni Yale amabayo akili imeyatafsiri .
Mengine hata sio hatari, hatari zipo za aina nyingi zipo mpaka za kisaikolojia watu wanapandikizwa vitu kichwani wanacharuka mpaka wanavaa mabomu anakuja kujilipua nalo!, hii ndio aina ya hatari mbovu, mbaya maana huyu akipata siraha yoyote mmekwisha!.
Sasa hiyo ni sawa na hii ya mweka mada!, kwamba mtu akitembea na mke wa mtu ni hatari!.
Mke ama mume akishatoka nje jua ndo kwisha hata umzuru yoyote ni sawa na hakuna kitu, binadamu akilitaka jambo lake utapambana ufe!
 
😁😁😁😁👆
 
Na ili uondokane na kufanya hatari

Epuka kutumia hela kama silaha ya kubeba mpenzi wa mwenzako na kumfanya mke

Hii nimeiona kwa familia fulani, mke vado anamahusiano na Ex wake na tayari wanamtoto ingawa mwanamke yupo ktk ndoa ya yule mzee...

Alitumia nguvu kubwa ya hela kumfanya mke tena wa tatu mpenzi wa jamaa...

#REAL LOVE NEVER DIE
 
Kuna jamaa mtu mzima alijisifia kuzaa na mke wa mtu, alisema kazaa mtoto anafanana na yeye ila kumchukua ni ngumu inabidi amuache hapo tu isije ikawa nongwa kuvuruga ndoa ya mtu atakapotaka kuchukua mtoto wake
 
Mtu azae na mke wangu huo utakuwa ndio mwisho wa mahusiano ya kindoa na mke wangu namuacha kiulaini bila kumpa adhabu kali, najitenga naye kimtindo. Hata nyumba namuachia akae na watoto wangu pamoja na huyo kenge aliyezaliwa kwenye boma yangu. Sina utamaduni wa kujaziwa watoto wa nje kwenye himaya yangu. Mke aendelee tu kutoa penzi kwa huyo mkora anayempenda na mimi nitapata tu mke mwingine aliyeumizwa na mume wake wako wengi na wanahitaji waume wa kuwafariji kutokana na kusalitiwa
 
Katika jamii yetu hayo ndo mambo hatari sana kama alivyoainisha mweka mada!, ila kwa wenzetu cyber crime, biological weapons pamoja na nuclear bomb hayo ndo mambo ya hatari kila mtu anayaogopa!.
Hii ndio ile kupanga ni kuchagua.
Sisi bado tupo zama za nyuma mno, mno.
 
Back
Top Bottom