Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Hawa ndio ma-IT wetu sasa, kila siku wao wapo kwenye ofa app unapata bure na website unapata bure 😆
Kila kitu unaweza kupata bure kwenye mtandao kama unajua namna ya kukipata

Kuna gharama ndogo za kawaida zinazofahamika wazi, hosting na domain, vingine vyote baada ya hapo unaweza kupata bure

Ila IT specificiliasts wengi hawapendi kutoa msaada wa bure
 
Aisee kama kila kitu kinapatikana bure kwa nini serikali huwa inaingia gharama za kutisha kuunda mifumo mfano kama GepG si wangeushusha tu mtandaoni waka host tu kwa gharama ndogo au ndio janja janja za hawa ma-IT wetu ?
 
Aisee kama kila kitu kinapatikana bure kwa nini serikali huwa inaingia gharama za kutisha kuunda mifumo mfano kama GepG si wangeushusha tu mtandaoni waka host tu kwa gharama ndogo au ndio janja janja za hawa ma-IT wetu ?
Mfumo huo umetoka mbinguni au umeundwa na watu?

Kama umeundwa na watu hao watu hawawezi kuwepo huko serikalini kama serikali ikitaka kuwa nao?
 
Vitu sio rahisi hivyo-Ulivyosema hapa ndo mawazo ya vijana wengi wa Tanzania.Akili zao wengi wanafikiria vitu vingi au vyote ni easy kama vile kwenye Movies na Series mnazoangalia kila kukicha. Unajua kuwa Unatakiwa kuprotect(kulinda) mfumo wako agaist Hackers,Virus na Ransoms?? Kwa Back ground vitu sio rahisi kama inavyoonekana
 
Hata bure unaweza kupata kama unajua namna ya kupata
Sawa kama alifanya coding ni Malaika wako au mzazi wako hapo nakubariana na wewe kuwa utapata free.Wewe unasema projects za wanafunzi wa India,Pakstani na kwengineko Asia zilizojaa kwenye Internet-ila linapokuja kuwa na App ya kumake Money umakini unahitajika
 
Kwani wewe huwezi kufanya hizo coding?
 
Mfumo huo umetoka mbinguni au umeundwa na watu?

Kama umeundwa na watu hao watu hawawezi kuwepo huko serikalini kama serikali ikitaka kuwa nao?
Umeundwa na watu ambao ni wafanyakazi wa hapo hapo serikalini na walikuwa wanalipwa hela nyingi tu nje ya mshahara wa kawaida kwa ajili ya kutekeleza hiyo project.

Kwanini wasingeutafuta mtandaoni bure kuliko kuhangaika kulipa watu hela nyingi kuunda kitu ambacho kinapatikana bure mtandaoni?
 
Ingelikuwa hivi basi makampuni ya huko kwa wenzetu yasingekuwa yanawekeza millions of dollars katika kuajili wataalam mbalimbali katika development.
 

Ni kweli matapaeli wapo kote, na mara nyingi ukiona unatapeliwa ujue tatizo liko kwako, nimefanya kazi na developers wengi wakiwemo hao Wahindi, na kwanza kunao Wahindi walinitapeli kwenye mradi fulani wakiwa kwao huko, ambapo sikua nimewekana nao sawa kwenye deliverable na hatua za malipo, nikawa too trusting, wenyewe ni developers wazuri ila sikuwabana ipasavyo.

Developer yeyote ni kama mkandarasi kwenye taaluma zingine zikiwemo ujenzi wa barabara, yaani wewe kama owner au project manager haujakaa na kupanga mradi wako vizuri kiasi cha kufuatilia wakandarasi ipasavyo, watakutupia tupia codes na kufunga mradi ukiwa half baked, na haijalishi ni wawapi, iwe Wachina, Wamarekani, Wabongo, Wakenya au wapi.
 
IT wa Bongo umetisha. Nimecheka kwa sauti mpaka daah!
 
Ingelikuwa hivi basi makampuni ya huko kwa wenzetu yasingekuwa yanawekeza millions of dollars katika kuajili wataalam mbalimbali katika development.


Chief mkwawa alikuambia zipo scripts

Stephano akakuambia hizo ni classified ads templates

Unataka kunipotezea muda wangu bure
 
Chief mkwawa alikuambia zipo scripts

Stephano akakuambia hizo ni classified ads templates

Unataka kunipotezea muda wangu bure
Haya ndiyo yanawafanya watu waonema IT wabongo hakuna kitu. Hata ukichukua script lazima ziboreshwe ziongezwe security ziwe customized.
Haya mambo ya kuchukua tu vitu unaweka ndo maana miwebsite ya nchi hii iko hovyo ina security vulnerabilities nyingi.
Watu siyo wajinga kuinvest millions of dollars kuwalipa maexpert kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…