Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

Wanachukua bidhaa gani wanazoenda kuuza.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabet man tafuta odd ya 6 tuu yan chukua timu 2 au 3 then tia mzigo wote uwo utapata ela unayoiota
 
Intelegent quiz hakuna kisichowezekana duniani,ipo njia ispokuwa utakuta ni mchongo wa mtu fulani mchoyo,wapo watu au mtu ambaye namfahamu hutoka asb na laki 3 tu na kuingia nayo kariakoo,jioni hurudi na laki 5,anapiga mishe gani hasemi hata kidogo.
Kama unamfahamu ungeweza kumfuatilia kimya kimya ungepata elimu utengeneze mpunga
 
Idea nzuri sana,
Hapa juzi kati nilipata fursa ya kwenda Kisiwani, Kisiwa maarufu tu hapa nchini,
Nilipata nafasi kuzungumza na watu kiasi chake kuhusu biashara ya uvuvi kama unavyo sema mchangiaji wa mada kwenye uzi huu wa kutengeneza million tatu kwa mwezi kwa mtaji wa laki tano tu.
Kama upo serious na biashara hii ya uvuvi naomba tuwasiliane baada ya hizi sikukuu za mwisho wa mwaka, email; tuwasilianesasa@gmail.com
 
Usijali mkuu, nakucheki soon.
 
Superrrrrr edia na kama hupendi hiyo nenda kwa wakulima nunua kwa jumla leta mzigo sokoni alfajiri uza kwa jumla hukosi 50 kwa siku so miezi miwili ushapata 3M utakuja kunishukuru .
Mkuu una ujuzi na biashara za msokoni?
Bidhaa gani ambazo naweza kununua na kuuza , mie sina ujjuzi ila nataka kujaribu
 
Ni simpo ila ni ngumu kwa mtaji ulionao utapata ushauri mwingi sana lkn mtaji wako ni mdogo kutokana Na muda ulio jiwekea
 
Huu ndo upumbavu unaowafanya watu wengi wafeli. Kutaka hela nyingi kwa haraka. Angalau weka malengo kwamba mwezi huu wa kwanza utengeneze laki 5 nyingine, unaofuatia 1m, unaofuatia 2m, na ule wa tatu 4m. Sio ghafla from laki 5 to 3m.
 
Ukijipata Unazalisha 3M kwa Mtaji Wa Laki Tano ndani Ya Mwezi....Jua Kuna Sehemu unafanya 'Dhulma'.....Kifupi hautokwenda Mbinguni.
Embu Fikiria Aliyenunua Bodaboda kwa 2.5 M kwa Mwaka hardly anatengeneza kati ya Laki 7 mpaka Laki 9 na hiyo boda anamwachia dereva.
Think wisely,think twice...
 
Yaani bro ni huzuni. Vijana kama hawa wanaopenda shortcut ni mzigo mzito kwa taifa.
 
elezea kiundani zaidi mkuu process zake hadi inapatikana hiyo elfu 70.
 
Mkuu maana yake hapo huyo jamaa alikuwa anauza nyavu haramu.
Sasa je hakuna nyavu za halali ambazo zinaruhusiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…