kinguhj
Member
- Sep 4, 2024
- 49
- 129
Divisibility itashindikana,pesa bora kwa mujibu wa sifa zake kiuchumi lazima iwe na uwezo wa kugawanyika(change),la sivyo uchumi utaathirika sana eneo la mabadilishano ya bidhaa na huduma.Ilitakiwa tuwe na noti za laki moja halafu ziweze kutoka zaidi ya ya 40 yaani 100,000 x 40 = 4,000,000 ipatikane kwa mkupuo