Nimepanda treni ya SGR kuna mapungufu mengi niliayaona yanahusu wahudumu ,(customer care), niliyafikisha kwa wahusika wakuu papo hapo maana wengine hatuna kaba siwezi kuyaweka hapa maana siyo mahali pake hii ni biashara yetu mapungufu yetu tutayatatua siyo kwa kejeri
 
media karibia zote ni chawa wa kijani bila permission ya ku release tukio au habari watajifanya kama hawajui kumbe wanajua deeply.
 
Huyo wa Lindi hakuna tetesi juu yake zilizoenea. Huyu wa Arusha kuna tetesi mbaya zimezagaa kitaa juu yake, na ndiyo sababu hasa ya kumuulizia.
Tetesi
Kumbe ni tetesi zinazomhusu yeye binafsi na sio mkuu wa mkoa
 
Kujua ni haki ya Umma , wakazi wa Ars wanamasilahi Yao mikononi mwake, hata kama Kuna mtu kakaimishwa , Kuna mengine atasema msubirini mkuu wa mkoa aje, kama ni likizo vzr ndani ya 28days kitajulikana
 
Weka ili yatatuliwe, vinginevyo tutabaki na ngedere na bundi wakati Kadogosa alisema umeme ukikatika Chuma kinaendelea na mafuta, kweli wananchi tunazarauliwa na the so called viongozi
 
Weka ili yatatuliwe, vinginevyo tutabaki na ngedere na bundi wakati Kadogosa alisema umeme ukikatika Chuma kinaendelea na mafuta, kweli wananchi tunazarauliwa na the so called viongozi
Mimi ni muelimishaji elimu ya ujasiriamali sitaweka hapa hata hivyo kutokana na hizo changamoto nilizo ziona kumbe kuna fursa pia ya kibishara
 
Kuna theory moja inasema Makonda amekwenda livu Dubai,ambako hajapewa sumu yoyote isipokuwa anaishi vizuri.
Na wale Wamasai wanasema hawataki kuambiwa waende Tanga kupiga kura
Kwa hiyo Serikali itafanya nini?
Kwa maoni yangu Serikali haitafanya kitu. Kupoteza kura laki moja hakuwezi kuidhuru CCM.
 
Pale kuna tatizo kubwa,kwa Wamasai lakini,siyo kwa Serikali. Serikali pale inaona tu watu laki wanataka kuleta matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…