ndugu IJ nan wa kuifanya kwa hawa media za vyuo vya kimara temboni. journalism??? investigate journalism kwanza inataka pesa.mwandsh aanze kutrace last known where about muda mwingine anafika mbali zaid anasafiri mpaka nchi husika anakod mpaka hotel ya paparazi wake.umaskin ndio unasababisha na vyuo vya kimara tembon college of media
 
Makonda ana faida gan kwanza zaid ya kutupigia kelele. Na kutuletea uigizaji naona fungu la mikutano ya kuzalilisha watu limekatwa nasubir ripoti ya cag jiji la arusha tuone ubadhilifu wa mungu mtu
 
Naungana na wewe kabisa🤔, hizi media inamaana hawana namba yake na kujuwa yuko wapi?? Ni kwamba wanahabari hawako huru kama tunavyooaminishwa??
Kama wako huru why wasimpigie simu Makonda kujuwa yuko wapi kuondoa hii sintofahamu iliyopo?? Je tuamini kweli kuwa wanahabari wetu elimu ni ndogo??? Au hawako huru, au ni wanafiki?? Au kuandika habari za kiongozi ni hadi wagawiwe bahasha?? Ni aibu kwa wanahabari wa Tanzania.
 
Unahangaika na Makonda akati anauwezo wa kujihangaikia

Kumbukumbu


Wakati wa Magufuli

MAKONDa aliwai kupotea pia
Aliporudi akarudi na issue ya Madawa ya kulevya akawataja watu wengi.

So ni kama style Makonda anayoishi nayoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…