Kama Magufuli ameshaahidi, wengine hawapaswi kuahidi pia? Ina maana kama mgombea wa ACT angeanza kuahaidi, Magufuli na Lowassa wasingepaswa kuzungumzia hilo? Kwa sentensi yako hiyo tu inatosha kusema kichwani kwako hamna kituKama ni elimu magufuli keshaahidi.
Hatutaki waongeaji sieeeee bana ccm washaongea mnooooooo
Tunataka atuambie atatufanyia nini Sisi wananchi tukamwamini kumpa kura baasi!unaniambia habari ya kurudisha balal duniani tena?!Kazi ya kurudisha watu amwachie Gwajima na kanisa lake sisi tunataka SERA zenye mabadiliko!!!
Kuna watanzania zaidi 50 wamefungwa Congo tena vifungo vya maisha kwa kesi ambazo hazina ushahidi wala maelezo ya kueleweka!watu wako ulaya mahabusu kwa zaidi ya miaka 20 hawajasomewa mashtaka yao,niambie Lowassa utawatowaje wale watanzania waje walitumikie taifa lao na uaepushe na uonevu wanaotendewa!badala yake unaniambia utamtoa Babu seya Gerezani na Magaidi walioua Askofu zanzibar na kulipua mabomu makanisani kweli??!
Hapana hapana!tunataka mabadiliko na sio marudio yautawala
Hivi kuna yeyote alie timamu anaendelea kuishabikia CCM humu ndani?
ZZK ni nani? SACCOS ni nini? Ndicho pekee ulichoona kwenye post yangu? Mi sishabikii hizi ZZK wala SACCOS zako. Miye ni Mtanzania tu na sitaki kuyumbishwa na wanasiasa hawa wababaishaji ambao wanaweza kubadili gia anytime kwa ajili ya matumbo yao na marafiki zao. Please usi-assume kuwa kila mtu ni mshabiki wa vyama vya siasa.Wewe tunakujua kuwa upo na zzk kuongoza kasacoss kenu ka mwandiga
Kumbe nilikuwa sahihi kukaa pembeni na Dr.Slaa, sijutii uamuzi wangu.!
watanzania shida zao ni kumleta balali??
Hii habari ya kumuweka Mh. Lowassa mwishooooni muiache. Anaongea dakika 15 tu.
Tunataka apewe muda si chini ya nusu saa tumsikie..Kero za nchi hii ni nyingi saana.
acha kukariri kila kitu hakiwezekani bora huyu wa vipaumbele vichache atavitekeleza kuliko yule wa 25 ambae tunajua ni usanii tuu avitekelezi
Lowwssa anaomba wakazi wa dar mumwombee kura kwa bara ..maajabu leo ni mengi sana na ndo maana Lissu kajikalia kwake, kwa Mara ya kwanza Lissu kukosekana jangwani
ZZK ni nani? SACCOS ni nini? Ndicho pekee ulichoona kwenye post yangu? Mi sishabikii hizi ZZK wala SACCOS zako. Miye ni Mtanzania tu na sitaki kuyumbishwa na wanasiasa hawa wababaishaji ambao wanaweza kubadili gia anytime kwa ajili ya matumbo yao na marafiki zao. Please usi-assume kuwa kila mtu ni mshabiki wa vyama vya siasa.
Hii habari ya kumuweka Mh. Lowassa mwishooooni muiache. Anaongea dakika 15 tu.
Tunataka apewe muda si chini ya nusu saa tumsikie..Kero za nchi hii ni nyingi saana.
WANAJAMVI NAOMBENI MTUJUZE SISI TULIO NJE YA NCHI, "VIPI DR. SLAA ALIKUWAPO? MAANA TULISIKIA KUA LEO ANARUDI KUNDINI " NA VIPI KUHUSU WALE WABUNGE 30 KUTOKA CCM, WAMERUDISHA KADI? MAANA TULISIKIA KUA SLAA ANGEKUWAPO, NA WABUNGE 30 WA CCM WANGEHAMA CHAMA? nawasilisha.
Ccm oyeee
Mbowe ameishia kuongea kwa hasira kama wakala wa Boko Haram. Hawa wahuni wa UKAWA leo wametuangusha sana. They have finally put themselves on the firing line of the ruling party. Nape and co must be exhilarated and in blissful mood, wherever they are....upinzani kwishnei na Mbowe sijui atahamia sayari gani. Mungu Amsaidie kwa kweli!