Mkuu unaweza kunifahamisha hiyo ni ilani ya Chadema au mawazo binafsi ya Lowassa isije kuwa drama kama ile ya mvua za Thailand.
ALISHINDWA NINI KUSEMA KILA KITUNjANGWANI?TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Leo jangwani panamaliza ubishi wote, Jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende ICC maana hamna namna CCM watachomoka.
Hii ni 2015 sio 1995 Kaeni tayari.
katiba sio swala la chama ni swala la nchiTumeshasema watanzania tutawapa katiba mpya hivi ccm mwataka nini?
Sumaye kamaliza kila kitu leo wengine wameongea ya muhimu lakini ya kawaida.