House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,214
Kila wanachotaja kipo katika ilani ya CCM vingine vinasubiria pesa vianze utekelezaji mfano reli ya kati,kufufua Air Tanzania( kumbuka PAC wakati wa zito kabwe na TANAPA)
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....
Mpaka aibu mnaona wana ukawa.....kiukweli mmepwaya sana.....chama kimeonyesha hakina dira leo mnatueleza tukasome Kwenye wepsayte hivi mwananchi wakawaida huo mda anautoa wapi nani wangapi wanatambua au wanauelewa wamatumizi ya mtandao hiyo....kiukweli mmetia aibu ya mwaka....
Uwe mkweli..Lowasa hàjasema Ilani Bali hotuba yake,akili yako sio nzuri wewe
Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara
Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu
Hatuwashangai mwisho wa mwezi huu madeni na kodi za nyumba zinawasumbua
Leo katika kusikiliza na kutazama uzinduzi wa kampeni za UKAWA sijaisikia sifa ya UADILIFU kwa mgombea kipenzi pia katika ilani niepitia sijaona mkakati wowote wa kupambana na UFISADI nchini.., najua lengo KUU LA UKAWA ni kuing'oa ccm katika dole tunaomba maelezo ya hayo pia.