Lowassa kawazika leo. Hama sera. Hana hoja. Hawezi kusimama. Ni Mgonjwa.
Ukweli upi wa kuwa Lowassa ni mgonjwa asiyeweza hata kusimama dakika 15 mfululizo?
Mnataka tulichaguwe teja la ma pain killer?
Tunawatakiwa safari njema kurudi kwenu Arusha, Moshi, Manyala, Monduli ila kura tutapiga wenyewe asante sana kwa kuja ktk mkutano.
Tuko radhi kuchagua JIWE kuliko ccm.. Hata Lowasa akijitoa bado CCM hatutaipigia kura
simuoni Dk Slaa wala Lipumba!watu wanataka kusikiliza Sera na Ilani badale yake wanahubiri taarabu kwa KIKWETE!kampeni za kuchafuana bado zinaendelea Ukawa
nazidi kukosa imani na CHADEMA kadri mda unavyoyoyoma bila kumuona huyu Dr
Chaguweni hata pakacha, mko huru.
Lakini kumbuka Ku Klux Klan Tanzania hawatatawala.
vipi, kamanda slaa atakuwepo? au umeweka tu kuwafuraisha wana jambi?
Nategemea Leo Slaa atakuwepo.
Makamanda mbona leo mafuriko hayapo?daaah nafuatilia hapa nafuatilia naona watu wachache sana.
Chaguweni hata pakacha, mko huru. Lakini kumbuka Ku Klux Klan Tanzania hawatatawala.
na pia kumbuka ccm mwisho october haitatawala tena