Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hizo ni ndito za alinacha. Huijuwi CCM, unaisikia tu.



Njombe

Hao wachache sana, linganisha density ya watu! Yaani katika mita moja ya mraba kuna watu wachache zaidi ukilinganisha na uzinduzi wa Ukawa kupitia chadema! Labda kama una makengeza hutaliona hilo! cc faizafoxy
 
Kiukweli amemthibitishia beyond reasonable doubt bosi wake Mkapa kuwa yeye siyo mpumbavu na lofa kama alivyodai Ben kwenye mkutano wa CCM wiki iliyopita wa mgombea wao wa CCM John Pombe Magufuli, kuwa kila anayetoka CCM na kuingia upinzani ni kapi, oil chafu na MPUMBAVU na LOFA.

Badala yake amemthibitishia Ben na wanaccm wenzake kuwa wale wote wanaotoka CCM kipindi hiki wamejitambua na wameamua kuukacha mfumo kandamizi wa Sisiem na kuwa wao ni 'vichwa' na moto wa kuotea mbali.
 
Ha ha haa! Nyomi ya leo imewachanganya wengi
mafuriko ya Magufuli Jangwani yawa kama kidimbwi!



Hii sasa balaa, lazima magamba yaweweseke!



Eti Ku Klux Klan, naona Tsunami imesomba wengi.
​

Hii density ya watu ni balaa yaani katika mita moja ya mraba kuna watu wengi zaidi kuliko ule wa chama cha magamba (CCM). cc faizafoxy.
 
Ungeona magari yaliyoleta watu toka mikoa yote ya karibu pamoja na pemba usingebetua mdomo wako kuongea ubwabwa bibie.
Hivi wewe mdada Simiyu yetu wawezaje kuja toka Pemba na kuja Dar kwa gari?

Tunaomba utujuze au pengine yapo magari ya kisasa yaliyoundwa katika design ya boti ambapo yaweza kukatiza ndani ya bahari!
 
Na kupania kote kule...sijaona tofauti
Ina maana wewe unaungana na gamba mwenzio JK aliyesema kuwa umati ambao huwa unarushwa na vyombo vya habari na mitandaoni kuonyesha kuwa ni wafuasi wa Ukawa huwa zinakuwa ni picha za kuungaunga?
 
Hivi Simiyu yetu wawezaje kuja toka Pemba na kuja Dar kwa gari?

Tunaomba utujuze au pengine yapo magari ya kisasa yaliyoundwa katika design ya boti ambapo yaweza kukatiza ndani ya bahari!

Huyu SimiuYetu ni mwehu watu wangapi wa Pemba wanaweza kuujaza JANGWANI ?
 
Polepole alisema magufuri ameenda ulaya mara 4 tu katika kipindi cha miaka 10.....wakati sumaye kasema magufuri anaenda ulaya kila mwezi.
 
We unasema nini kwani hata huyu Lowasa unadhani yeye na ukoo wake wakiugua wanatibiwa wapi. Hjko huko. Unadhani kutakuwa na tofauti. Usijidanganye wewe. Lowasa ana itikadi za ccm mpaka kufa. Hawezi ziacha.

Mbona sasa kaziacha mkuu !???
 
Kikwete atasema imetengenezwa!!cjui wale wanaompelekea taarifa wanamdanganya
JK bana...........................

Eti picha za magharika, tsunami na mafuriko ya watu wanaohudhuria mikutano ya Ukawa ni za kuungaunga!

Hivi yeye JK kwenye Sisiem yake si wanao vijana wao wengi ambao ni wataalam wa hali ya juu mambo ya computer?

Hivi kwanini na wao maccm nao wasiyafanye hayo 'mautundu' ya kuunganisha hayo mapicha yao ya Magufuli ili na yeye ampiku Edo?
 
Naomba tujaribu kutumia busara na hekima katika hili suala, baada ya kutafakari kwa muda, inaonekana kuna namna watanzania tunatawaliwa na chama tawala tena kwa mbinu za kisaikolojia. Ni kweliiiiiiii???
 
Akili yako ndogo sana kumwelewa Lowassa. Wenye ufahamu wameelewa na hakusema atamtoa Seya bali atafuata utawala wa sheria kumtoa, kuhusu Balali hakusema chochote. Acha kupotosha kauli usizozielewa kanjanja we!
 
Polepole alisema magufuri ameenda ulaya mara 4 tu katika kipindi cha miaka 10.....wakati sumaye kasema magufuri anaenda ulaya kila mwezi.

Mi nashangaaga sana mnaomsikiliza polepole,he knows nothing anataka publicity tu,
 
Mawaziri wakuu wastaafu wamehama chama,wameshikilia madudu ya maraisi wote wawili mkapa na kikwete,hii ni hatari sana kwa ccm,hasa kipindi hichi maaana watanzania watataka kujua yale sumaye aliyosema anayo mengi ya kuongea,change is inevitable ,vijana wataitoa ccm madarakani october asubui na mapema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…