KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.
Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?
hizi sifa sasa
dalili ya maharagwe kuiva yanapokuwa jikoni ni kurukaruka... na nyie mtaruka sarakasi zote ila oct 27 mtatulia tuliiiiii.
View attachment 281703View attachment 281704View attachment 281623
View attachment 281705
View attachment 281768
View attachment 281708
View attachment 281717
View attachment 281740View attachment 281741View attachment 281742View attachment 281743
View attachment 281766View attachment 281767
View attachment 281776
Kumbe ndio maana mnaitwa wapumbavu.mihimili yote mitatu inajitegemea hakuna aliye juu ya mwenzake.
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.
Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?
teh teh teh.. Siku hizi Jangwani kumegeuka Njombe?
Hahaaa.. Hata angekunywa pipa zima hiyo damu yake haisafishiki tena..!!tulia dozi ya babu ikuingie
Kama Lowassa atakuwa mgonjwa basi kumbuka Magufuli kasha oza mwili mzima. Yaani ni bua la mhindi any time kama damu itaisha kule ulaya kwenye bank hatunaye tena.Wanadamu wote ni wagonjwa (kwa kiasi fulani), ndio sababu hata hospitali kuwa wanaolazwa wodi za kawaida na wengine ICU. Kwa sasa wagombea wanaonesha tofauti za afya zao, wengine hata kuhutubia kwa dakika 10 shida! Sumaye anaweza kupiga kelele sana lakini ukweli uko pale pale!
Hata hivyo, nampa pole mzee wetu Lowassa, ugonjwa si siasa.