muda aliopewa lowasa ni mwingi sana. kwa siku za karibuni hakuna mkutano lowasa aliohutubia zaidi ya dkk 24. mfano mkutano wa kutafuta wadhamini pale arusha alihutubia chini ya dkk 8 akiwa chadema na ule wakutangaza nia akiwa ccm alitumia dkk 5 tu. usifikiri walivyofanya walikuwa hawajui.Kwa upande wangu, Mkutano ulifana sana hasa kwa uwingi wa watu, watu walikuwa wengi saana haijawahi kutokea kwenye medani ya Siasa za Tanzania, tatizo nililoliona kwenye ratiba ya UKAWA, muda aliopewa Mgombea Urais ulikuwa ni mdogo sana, otherwise nawapongeza sana.
Tulia kaka! Nafikiri haukufikiri sana wakati unajibu maneno yangu. Kama ungefikirisha sana kichwa chako ungeona kuwa nina wakandya wale wanaosema ule umati ni sunami! Hawajui kama walewale waliohudhuria siku ya CCM ni walewale waliohudhuria siku ya Chadema!Acha uvivu jaribu kushirikisha kichwa chako japo kidogo tu..... Watu wanaenda mikutanoni kusikiliza Sera za wagombea ili wafanye maamuzi vyema... Pale walikuwepo watu wa vyama tofauti kusikiliza Sera za ukawa unfortunately they were so disappointed.
well said.[/Q
Tujitahd kumpatia kura ili aje kusaidia watanzania,mimi binafsi,mke wanu,baba na mama mkwe,shemeji zangu na wamme zao kura ni kwa LOWASA,Ila mzee wangu kachomoa maana alikuwa katibu wa CCM zama za Nyerere na Mwinyi ila mama ni kwa LOWASA.
Sio kuharibu tu hana uwezo ila kiburi cha pesa na tamaa ya madaraka
Lowasa foreva....hutaki kaa pembeni. Kuna watu walikuwa timu lowasa alivyotoka ccm mnanuna hapa....ka vip mfuateni huku kwetu. Sie tumempokea kwa shangwe tunasonga mbele. Hahahahahah
Mungu anamakusudi yake sana, kampumzisha Dr Slaa ili Sumaye achukue nafasi yake
Mungu anamakusudi yake sana, kampumzisha Dr Slaa ili Sumaye achukue nafasi yake
ila mjifunze kuwa na misimamo, sumaye hajui sera za chama chake kipya anajua zaidi alipotoka na aliowaacha huko ccm. Watanzania hawataki mbwembwe wanataka maendeleo, wanaua upinzani wametoka ccm na ugomvi wamehamishia ccm. Tarehe 26 oct tuonane humu jf