Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

UKAWA wajanja sana, wanawapiga CCM na kitu inaitwa Tangulia Naja, yaani unatangulizwa kama chambo bila kujua halafu watu wanakuja nyuma kimya kimya wanamaliza biashara.

CCM walitangulizwa jangwani, mara UKAWA wakaja na kumaliza biashara, wakatangulizwa Iringa, mara UKAWA wakaenda jana wakafunga mji. Hata siku ya UKAWA kutangazwa mshindi, CCM watipigwa hivi hivi yaani Tangulia Naja
 
Yani kuanzia tar 27 hadi 28 ndo ccm watajua kuwa fly over dar wakati vijijini hakuna lami na usafiri ni wa xhida mfano kwa mwakyembe atuambie amewafanyia wananchi wake nini coz nimepita huko last 2 weeks wa2 hawataki hata kumckia
 



Mathayo 12:36 ....Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. 37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
 
Mathayo 12:36 ....Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. 37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

 
Last edited by a moderator:
Balali haiwezi kuwa sababu ya sisi kumchagua,,, hilo la balali si kipaumbele chetu,,

Najua vipaumbele vipo vingi lakini uongo ulojificha ukiwekwa hadharani ni jambo ovu na ukizingatia watuhumiwa ni weneye dhamana ya dola?
The Listener
Ex Detective
 
Mmoja wa Watanzania Maarufu katika mtandao wa TWEETER, Maria Sarungi, alibandika katika ukurasa wake huo maneno yafuatayo:
"Kama vyombo vya habari vya Tanzania vingekuwa kama vya Marekani, kichwa cha habari kutoka mkutano wa Jangwani kingesema; MGOMBEA URAIS ATANGAZA KUWASAMEHE WABAKAJI NA MAGAIDI
 

Waliopo Jela wote si kwamba wana Hatia kuna kesi za kutengeneza pia zipo kesi za kubambikiwa kwa nia ya kumkomoa mtu au kutengeneza mazingira ya Rushwa.
 
ikitokea Tume ikafuatila kesi zote za wafungwa jela utashangaa kusikia mengi usiyoyatarajia.
 
jamani watz vipi hamjui sheria......katika utawala bora kuna parole.Vipi shsria zenu hamzijui?wabongo wanadhani atawaacha kama mtu aliyelala na mwanamke wa barabarani.
 

Toa uthibitisho kuwa babu seya na wanae kuwa ni wabakaji, toa uthibisho wa mashehe walofungwa kuwa ni magaidi.
 

Sikusikia sehemu ambayo Mgombea urais alisema ata waachia Mashekh na akina Babu sea, alicho kisema ni kuwa tatizo la mashekeh wa Zanzibar na Babu Sea tutalishughurikia, na pia msijitoe ufahamu kuwa swala la mashekhe wa Zanzibar lina utata wa kisheria, walikamatiwa Zanzibar iweje kesi yao iendeshewe Tanganyika
 
Je inaweza kuwa ni haya tunayoyaona sasa ya wale waliojiita wapinzani kwa muda mrefu na sasa wanakimbia ndio koti la ccm la upinzani?
 
..ndio hapo msikie.....kumbe ndani ya viongozi wa upinzani kuna ccm...sasa inabidi warudi kusaidia vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…