Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

kinachoondolewa ni CCM wanaumia ACT

Ha ha ha! Mkuu punguza mawe. Umenikumbusha habari za Tariq Aziz, yule msemaji wa Saddam Hussein kwa zaidi ya miaka 20 enzi zile. Huyu bwana baada ya vita kukolea na kuona hakuna namna alijipeleka mwenyewe kwa wamarekani. Jibu aliloambiwa ni kwamba hakuwa katika "most wanted list" yao wakaachana naye; alikuja kufa kifo cha kawaida hospitalini at 79.

Sasa hawa ACT nao wanachekesha; the most wanted list ya UKAWA ni CCM lakini cha ajabu nao wanajipitishapitisha kama "malaya". In short hakuna mwenye time na ACT, waendelee na mambo yao watajifia wenyewe kama Tariq Aziz; UKAWA haina muda wa kuweka dau kwa "yeyote mwenye taarifa" kwa chama hiki mfu. Saddam, Uday, na Qusay wa UKAWA ni magamba; hawa donge lolote litawekwa kuwanasa ili "watiwe kitanzi" kwa udhalimu waliolifanyia taifa hili. By the way, nimesikia nao wanazindua hapo kesho mitaa ya Mbagala.
 

Kwa wazee hata fix zitumike maana hamna namna nyingine sasa
 
Maudhui si ni yale yale au mnataka kujaza mauzi jamvini?

Kama ni hayo ndo tukasema basi angeunga kisha akaedit heading lumumba fc wewe! Tina count reply kumbuka, sasa zooote sijui zimeenda wapi katika uzi huu
 
john p magufuli, the next president of the united republic of tanzania
 
M npo hom kijich mbona umeme upo ila amna Chanel ata 1 inayoonye ukawa
 
Wengi walioenda ni wana CCM. wameenda kusikiliza porojo za Lowasa

Nini kinakuwasha sasa, hivi wewe lizaboni unalipwa na nani kujifanya hamnazo? Unajidharaulisha sana kamanda. Hata kama wewe uko pale mahala jaribu kufikiri kuwa kuna watu tunakujua fika wewe ni nani ndio maana mwanao mmoja ni nusu mwehu
 

ACT ni chama cha mandumila kuwili, masaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…