Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Mimi sijajiandaa ndio nilikua nimetoka kula ugali wangu hapa nikadhani nitapata muda wa kupumzika!!!!
Kwa jinsi ninavyoambiwa wanaume mtapata taabu sana pa kukaa.
Sie wanawake Mbowe katufanyia favour, ngoja nijiande sasa.
Nikirudi hapa naaga tu.
wa ARUSHA, MWANZA, MBEYA na kwingineko tumekuja dar asante LOWASSA kwa kutuleta dar.....
"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA, mbunge na kiongozi wa CDM.
dalili za kuchanganyikiwa hizi.wa ARUSHA, MWANZA, MBEYA na kwingineko tumekuja dar asante LOWASSA kwa kutuleta dar.....
"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA, mbunge na kiongozi wa CDM.
Kazi ya kusombelea nyumbu jangwani imeenda vizuri
Nimepita jangwani muda huu nikitokea kariakoo, hiyo nyomi ni balaa! Na watu wanatembea kwa miguu toka kariakoo na wengine wakitokea magomeni! Baada ya SAA moja kutoka sasa pale jangwani itakuwa kama bahari ya watu?
Wengi walioenda ni wana CCM. wameenda kusikiliza porojo za Lowasa
Dah! 25/10 naona mbali aisee,tumechoka longolongo za cmmUmemaliza mkuu, suala hapa ni hili dude life na tuling'oe. Shimo tutafukia wote baadae, suala hapa ccm itokeeee. Period.
vipi hawagawi hela leo??