Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

leo jangwani panamaliza ubishi wote, jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende icc maana hamna namna ccm watachomoka.

Hii ni 2015 sio 1995 kaeni tayari.

nimeshindwa kuelewa level ya uelewa wako. Ivi jangwani ndio panamaliza ubishi au kwenye box la kura? Uwanjani sio kipimo bali kipimo ni kwenye box la kura.

Mtashangaana tarehe 30/10/2015 matokeo yakitangazwa
 
Nini kinakuwasha sasa, hivi wewe lizaboni unalipwa na nani kujifanya hamnazo? Unajidharaulisha sana kamanda. Hata kama wewe uko pale mahala jaribu kufikiri kuwa kuna watu tunakujua fika wewe ni nani ndio maana mwanao mmoja ni nusu mwehu

ahaaaaa mpashe. Yaani leo limejificha uvumilivu ukalishinda naona linaibuka kama kipele.
 
Nyenyere

Hatuhitaji watu wa kutuzungusha vichwa kama sisiem Leo El yupo. Chadema ongea kuhusu ukurasa huu mpya.nivema ukajenga hoja mpya za akiwa Chadema kuliko kupoteza muda.AU UMETUMWA KUTUKANGANYISHA KI HOJA? ULIPO SIKIA MKUU ANARINDIMA LEO.

Tunawapima wagombea kutokana na rekodi zao za nyuma na si mahaba niue. Mimi nampima Lowassa dhidi ya Dr Slaa
 
Last edited by a moderator:
Nguo yeyote ya chadema sijua inakuaje tamu wakivaa wadada.

Hua nachanganyikiwa nikimuona mdada amevaa.
 
Katika kile kinachoonekana ni mashindani ya kujaza nyomi katika uwanja wa jangwani, UKAWA wameagiza watu kutoka mikoa ya Jirani na hata wengine kutoka moshi na Arusha kuja kushiriki zoezi la ufunguzi wa Kampeni za Ukawa Jangwani.

Picha mbalimbali zinazoruka kwenye mitandao ya Kijamii na hata WhatsApp zikionyesha mabasi na costa kutoka Kilimanjaro na Arusha yakijiandaa kwa safari na zingine zikionyesha wakiwa wanaingia Jangwani Alfajir ya leo..

Wakati watu hapo wakikusanywa makundi kwa makundi kutoka mikoani, Vijana wa bodaboda nao wawekwa foleni kubwa katika vituo vya mafuta wakijaziwa full tank na posho ya 10,000/=


Hali ilivyo katika Vituo vya Mafuta leo...


Mabasi ya kukodiwa, yakielekea Jangwani...watu waliokubali kupanda kwenye magari hayo wamepatiwa posho ya elfu kumi kumi..


Carry nazo zilitumika kusomba watu...


Hawa nao kutoka Kisarawe wanawahi Jangwani..


Makamanda wakiwahi Jangwani..


Nashauri Viongozi wakuu wa CHADEMA wangetafuta usafiri nzuri na bora kwa wanachama wao, haya malori yanahatarisha maisha yao..
 
Natamani leo kusikia data za hasara kiasi gani huyo mgombea wa magamba aliyoisababashia taifa kwa maamuzi yake ya kibabe na kukurupuka ktk wizara alizohudumu!Pia kimbelembele mwingine aliyetishia ati anasubiri leo kama Richmod itaongelewa! eti anatisia nyau! ningependa naye aulizwe kwa nn hauwajibika kwa mabehewa feki! kwanini hakfukuzwa, atueleze usafi wake ktk hilo!
 
mwaka huu mtatoa na kusema vyote hadi mlivyoweka uvunguni lengo ni kujaribu kujiokoa katika hili jahazi ambalo matumaini ya kuzuia lisizame yamepotea kabisa. UKAWA mbele kwa mbele

Hakuna cha kujiokoa, jadilini hoja. Lowassa ana makandokando mengi sana. Ivumayo haidumu
 
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.

wivu utawaua mwaka uhu taifa ndio linakwenda kuzaliwa upya.
 
Msipo fanya hivyo wananchi tutajua mna upendeleo kwa ccm na mtakosa hadhi ya kuitwa tv ya taifa na mtasababisha tuhamie ukawa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…