Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

TEAMlowasa TEAMpresident
Wasomi waelewa malofa tupo jangwani
 
Last edited by a moderator:
Yan sitowasahau mods kuna Uzi wa Jana umepotea
 
Wakati wewe hujui kama watanzania walishaombwa msamaha wenzio wamejazan jangwani kusikiliza sera za chama!
 

sion unakuja kufanya nn basi ni ulimbukeni huna kazi? Sindano wa ukawa inawaingia wengi
 
Kama watu wengi kuja kwenye mkutano sio kura basi mgombea wa chausta/ACT tujiandae kumuapisha
 
Tsunami siyo mafuriko tena. Wamwambie MKUU aangalie ITV
 
Wakuu bado sijaridhishwa na uletwaji wa picha katika hili tukio, mboma za mwanza,mbeya na Arusha zilikuwa zinamiminika kila dakika, dar mumekuwaje leo.....au kuna uzi mwingine una hili tukio mimi sina habari?

Tatizo mkuu hapa bongo kuna jamaa wanaitwa watoto wa fisi, hao wakikuona umekomaa na smartfone yako unapiga picha mara uko bize wanapita nayo. So hizi tunategemea kutoka kwa watu walio mbali kidogo na kundi kubwa ila subiri Lema akifika atatuma nyingi tu.
 
Ni shidaaaaaaaa jangwaniiii
Watu pipoioooo
 
Uwanja umetapika yaani haitakiwi mtu kusimama ukisimama mwenzako ansogea then ukitaka kukaa hupati nafasi unaona peeeeeeeepooozzzzzii??mabadiliko lowasa!lowasa mabadiliko ! Watu wote ni Lowasa !!!
 


Kwanini umeondoa picha?
 
Watu wamekodi wenyewe usafiri wanao ona ni bora kwao

Yaah mtaani ninako ishi vijana walichangishana buku2 kila mmoja na wamefanikiwa wamechukua Costa limeshawafikisha jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…