winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,009
- 1,159
Hivi wakitaka kujisaidia wanaenda wapi ???? Hayo Mazingira na Viroba sipati picha
Huu ni upungufu mkubwa kwa kitengo cha mawasiliano -UKAWA. Wao ndio wangewahi kuanzisha uzi ambapo wangeweza kuahakikisha wanatoa updates za uhakika. Aliyeanzisha uzi huu ni kirusi. Nilishngaa hata zile picha za mwanzo hazikuwa na ubora. Unaweza kuona jinsi alivyofanya makusudi kabisa kuziba nafasi ya kuwakosesha wafuatiliaji wa tukio kupitia hapa JF. Akina Tumaini Makene mmeshindwa kazi.aliyeanzisha huu uzi kaingia mitini,hata siku ile ya lowasa kukaribishwa ukawa alifanya hivi hivi,no updates!..anatumiwa huyuuu
mods hamtutendei haki huyu aliyeweka hii post haleti update yoyote, ule uzi wa TandaleOne uko wapi?
ameshakua kamanda saiv.wewe kaangalie ya kwenu huko mbeya, haya hayakuhusu au uje upige picha umpelekee mkulu asijesema ni za kutengeneza.
Kamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...
Kujaza watu hakumaanishi wote wanakuunga mkono , Kuna watu walikuwepo kwa CCM na leo wapo kwa Ukawa , watu wamekwenda kusikiliza SERA siyo kupiga kura za wazi za ndio
By the way hatuna utamaduni wa kutoka out ndiyo outing zetu hizo Wabongo ,mi mwenyewe hapa nafunga ofisi naelekea but kumoyo kura ya Ndiyo kwa Pombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ulitaka waje kwa miguu? Na tutawasombelea tuone nani zaidi
Itawachapa mpaka mkome kulinga
ushabiki mandazi kwa mwenye kichwa cha andazi kazi kuumuka bure tu.Idadi ni ndogo ukifananisha na ile ya CCM