Huu ni upungufu mkubwa kwa kitengo cha mawasiliano -UKAWA. Wao ndio wangewahi kuanzisha uzi ambapo wangeweza kuahakikisha wanatoa updates za uhakika. Aliyeanzisha uzi huu ni kirusi. Nilishngaa hata zile picha za mwanzo hazikuwa na ubora. Unaweza kuona jinsi alivyofanya makusudi kabisa kuziba nafasi ya kuwakosesha wafuatiliaji wa tukio kupitia hapa JF. Akina Tumaini Makene mmeshindwa kazi.
Unaongea kama Mgombea Mwenza wa ukawa , hebu kwendraaaaaaaaaaaa Jangwani huko !
Mkutano wa kufuli wapi
Hii kitu inaonyeshwa na azam tv?? na je kuanzia saa ngapi??
Tatizo mkuu hapa bongo kuna jamaa wanaitwa watoto wa fisi, hao wakikuona umekomaa na smartfone yako unapiga picha mara uko bize wanapita nayo. So hizi tunategemea kutoka kwa watu walio mbali kidogo na kundi kubwa ila subiri Lema akifika atatuma nyingi tu.
Ha ha ha nimeishia migo ...mbele hakuendeki...mafurikoooooo
Hata mi nashangaa kwenye radio wanatangaza kuna Tsunami viwanja vya Jangwani ila hii thread sioni ikitoa updates zozote!
kawaida saana....nilijua mafuriko mengi.....hahahha
Hapo nimekuelewa mkuu,maana sioni kabisa mapicha yakipandishwa....mpk nikahisi hujuma nini?
wekeni picha za watu tuone hayo mafuriko
Nimeshangaa sana kuna Uzi wa Jana ulianzishwa lkn Leo sijauona kbsa