Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kumbe kuna wasanii pia! Hako ni ka fiesta kadogo?
 
Huyu jamaa magazeti ni kada wa ccm katupiga bao la mkono.


swissme
 
Masako anasema watu waishie moro road huku katikati hakufai
 
Alafu wanahadaa watu kwa kauli za hayati mwalimu JKN...muda si mwingi waanza kulia...mabadiliko sio kumchagua lowassa bali kiongozi imara kama magufuli.
 
Makamanda wamenunuliwa Leo sijaona picha za kuzidi
 
hakika nami nasubiri kujibiwa haya ndugu ulioolozesha wametufanya sisi makolo kwa kututangazia lowassa fisadi leo msafi maana yuko kwao sisi si malofa kama walivyo wao....

You day dreamer, Lowassa was implicated in Richmond scandal by CCM, huelewi? Lowasa si fisadi, kaisha sema mwenye ushahidi apeleke mahakamani.. mnaogopa nini?
 
Hizi habari bila picha ni uzushi. Hamna cha mafuriko wala gharika.au bado mnaziunganisha.
 
Kiranga unamwonea
 
Last edited by a moderator:

Kumbe Lowasa si fisadi!Heeeh
 
Maeneo mengi Moshi Hamna umeme Ila nimetumia garama kutafta eneo lenye umeme nifatilie nisipitwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…