Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

jamani nani kaungana na lowasa leo wengine tunataabika huku wami hakuna njia ya kuja dar
 
hama huko matangazo mengi aisee inakera kweli
 

duuu ccm mmeshikwa pabaya,naona mnajitahd kutapatapa
 

naona povu jingi

tulia tu dozi ikiisha utaongezewa nyingine

 
wenye kujua naomba kufahamishwa leo kuna mhubiri gani kaja nimepita nasikia nyimbo za kwaya na yesu anatajwa sana,napenda kufahamu nani kaja hapa
 
Ahaaaa,Ngoja dawa iingie

Dozi aliyotowa Mkapa imewaingia wapumbavu na malofa wote, toka siku aliyogawa hiyo dozi sijasikia popote, kuanzia JF mpaka leo Jangwani neno "ukombozi" kutoka kwa malofa.

Wamerudi kwa Magufuli na kunadi "mabadiliko" aliyoyatangaza Magufuli siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM.

Kwi kwi kwi teh teh teh
 

Kuna maslahi kwako kwa magufuli na ccm eanekunyima mahkama ya kadhi na wamekudhalilishia mashekh wako mpka wamelawitia au umesahau tyr
 
Wote waliopita wanaponda CCM tu wala hamna sera ..wanamjadiri mkapa badala ya kujenga hoja tashiushi
 

Bibi shikamoo..
 
hata kama una roho ngumu lazima uogope dah naelekea hospital bibi yangu mjumbe wa ccm kazimia baada ya kuziona picha za jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…