Kama mgombea wa urais lupitia ukawa atahutubia wananchi kwamudamfupi kwa kutumia visingizio mbalimbali kama lutanguliza waongeaji wengi nk ili watumie muda mwingi nayeye kuonge muda fupi atakuawa amejaliza. Kama ataongeakwa muda wa zaidi dakika 45 basi atakuawa kweli ameanza kampeni vizuri.muda usiwe kisingizio.
Diamond kapata tuzo ngapi? teh teh teh
Hadi sasa naona mnawaongelea ccm tu, hamna sera. Tunasubiri sera zenu sasa, kama hamwapendi ccm Mbona mnawaongelea sana? Binafsi huwa simuongelei adui yangu maana kwa kufanya hivyo unampandisha chati adui yako
Tunacho kitabu chenye sera za ccm mkononi, tunasubiri sera za ukawa tulinganishe, maana so far mnataka kuingia ikulu bila kuwa na cha Kufanya,mnaenda Kunywa juice? #HapaKaziTu
Duuuh sumaye ni mzandiki na mnafiki sijawahi kuona..leo anamsifia lowasa ambaye alisema akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm angehama chama..!
Sasa hizo akili zake zilikuwa wapi siku zote?...Sumaye ana akili sana laiti watanzania wangepewa nusu ya upeo wake leo hii ccm ingekua kwenye vitabu vya historia tu.
peoplezzz....
Wewe ndio unasingizia una mke wakati huwa unapokea mpini toka kwanguNdo nikuulize, umeoa lini?
Kitendo cha yeye kuonekana hapa tu tayari kura yangu anayo.
Hata asipohutubia sisi hatuna shida,tutampa kura
hivi umetembelea kaburi la mama yako karibuni inaelekea laana inakwandamaLeo Mbowe amesema alikusudia atoa sadaka lakini sadaka hiyo ataitoa kwingineko katika katika mikutano ya Ukawa.
Ni sadaka gani hiyo? Au ni ile ya Soweto kule Arusha au Daudi Mwangosi kule Iringa?