Kwani Lowassa ni mgonjwa?
mbezi huku wamekata wangese sanaaa
Mkuu nimekusoma japo umeme wamekata huku mbezi simu inafanyakazi Napata taarifa zoteKuna mtu kapoteza buku, ndo tunatafuta kwanza
Ni kweli magufuli ni mpango wa mungu BUT Lowasa ni mpango wa Mungu.
sumaye jembe sanaa jaman kawachana nakuwaacha uchi ccm
Duni naye kaanza ngonjeraa zake za mwanaume kubeba mimba
Duni ameanza kwa KATIBA.
Stay tuned
Ubora upi Chifu???