Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kweli UKAWA wameshindwa kabisa kutumia uwingi huu wa watu kutuambia watatufanyia nini?!kweli CCM inajua kucheza na akili za watu!wanajadili kauli ya Warioba na Mkapa tu

BTW Tunashukuru kwa kutujulisha kua Lowasa ni mgonjwa

tunashukuru pia kwa kutujulisha Magufuli nae ni mgonjwa
 


Mgonjwa siyo marehemu, kwa hiyo anaweza kupona na kupiga kazi. Wameingia wengi madarakani wakiwa wazima na wanakufa kabla hawajaachia madaraka. Mwenye uzima wa 100% na uhakika angalao 25% ya kufika kesho hapa dunia ni nani?????
 
CCM sumaye anatoka katika kabila la watu jasiri kama simba hawaogopagi kitu watu hawa hapa uchaguzi umeisha kwa hotuba ya sumaye na hatanii anataka mabadiliko anawajua wote aliowazungumzia weka mbali na watoto
 
Kwa maelezo ya Sumaye ni kwamba Lowassa ni mgonjwa kweli...Kasema hata Mkapa na Kikwete wamewahi kwenda kutibiwa ulaya....

Kwamba ukiwa Rais hauendi kubeba zege...Unakuwa na wasaidizi wako tu....

Na Magufuli nae ni mgonjwa anatibiwa Ulaya na alienda Loliondo kubugia kikombe cha babu
 
"mnisamehe nawaombeni ndugu zangu,nilikuwa ccm ktk kiwanda cha ulofa ila leo nimejisalimisha ukawa"tambwe hiza on the stage...
 
...kwenye vichwa, msigwa nilishamuondoa!

Vichwa wanakuwa na principles ambazo wanatembea na kuziishi hizo. Mfano baba wa taifa alikuwa anaamini katika principles zake ambazo baada ya muda watu walizikataa na kuanza kufanya yao, ila siku zote aliendelea kuzisimamia principle hizo.

If you don't know history you are bound to repeat the same mistake...zunguka popote kwenye history angalia wale wote walioleta ukombozi wa kweli lazima walikuwa na principles ambazo wameziishi wazi waza. Hawa tulio nao kwa sasa ni ordinali ambao leo wanasimama mbele yetu wanatuaminisha hili na kesho wanasema lingine.

Che guevara, Nelson Mandela, Mao, Martin Luther..and the list goes on and on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…