Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Nakumbuka kama hata kikwete aliingia madarakani akiwa mgonjwa. Kadondoka mara kibao kwenye mikutano na hasa ule wa jangwani
 
Anajibomoa yeye pamoja na huyo mamvi anayedhani anamsafisha. Ulishawahi kujiuliza baada ya uchaguzi Mr zero na mamvi wataelekea wapi? Hawana jipya tena na chadema hawatahitajika tena. Nachoshukuru wanatusaidia kupiga kampeni.

tulia dozi ikuingie vizuri

ungependa pia asprin?

 
aliyewaelewa anisaidie!! maana wanachofanya si kampeni ila ni taarabu kwa ccm,kila mzungumzaji anamtaja mtu..so what ukawa?? wekeni vipaumbele bana!
 
Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....
 
Kwa maelezo ya Sumaye ni kwamba Lowassa ni mgonjwa kweli...Kasema hata Mkapa na Kikwete wamewahi kwenda kutibiwa ulaya....

Kwamba ukiwa Rais hauendi kubeba zege...Unakuwa na wasaidizi wako tu....

Ni wagonjwa kweli hukumuona magufuli loliondo unadhani alienda kunywa juice?Ukifikisha umri wa 50 kuendelea unakuwa hauko fiti magonjwa mengi kama kisukari goat pakinson figo mapafu kansa kwa mtu muelewa huwezi shabikia maradhi ya mtu-magufuli na wengine wengi HUENDA KUTIBIWA ULAYA AMA INDIA HAKUNA SIRI MI MWENYEWE NIPO 41 SIKO SAWA KAMA NILIVOKUWA 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…