tulia dozi ikuingie vizuri
ungependa pia asprin?
Ndio maana nikasema hakukuwa na haja ya Sumaye kuzungumzia ishu ya Ugonjwa wa Lowassa...
Hoja ya ugonjwa wa mtu ni mfu...Haina mashiko hata kidogo...
Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....
Hajasema Magufuli mgonjwa!amesema magufuli anapanda ndege kwenda ulaya!huangalii kwani?
Hawa UKAWA ni wahuni sana. Wanataka kucheza na akili zetu, tena bila hata huruma.Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....
Hivi hakuna live streaming maana tunakosa uondo wengine tuliokuwa safarini
please saidia link hapa tafadhali
Mbona nyie mnapoteza muda mwingi sana kumsema mzee wetu? Ebu muwe wavumilivu mnapolishwa ndimu.
kwani uongo kikwete hajafanyiwa operation,hajaiba escrow,epa,twiga hawajapanda ndege utakuwa unaupungufu wa akili kama unabishaSumaye anatetea tumbo lake. Asipofanya hivyo unafikiri ataishi vipi?
Mkuu huyu asili yake CUFTambwe Hiza naye amehamia Ukawa baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya CCM Temeke...
Jamaa wa Ukawa wamekosea sana kumleta Richard Hiza Tambwe baada ya Duni Haji....