Binafsi sijaona ukweli kuhusu ufisadi...Labda Lowassa mwenyewe atauzungumza...
hata sijakuelewa ulichozungumza sumaye!
Mbowe ameshindwa kabisa namna gani amsafishe fisadi mamvi
Mkuu hata wewe leo ni mshauri wa UKAWA? Haya tumekusikia uje ingawa nafasi hakuna ukamueleze mwenyekiti wenu zile picha anazozionaga ni genuine hakuna za kuungaunga, wenzake wanamdanganya, ni historia mpya hapa jangwani hata Papa John Paulo wa pili hakujaza nyomi kama hii miaka ile ya 90.
Ukawa hawana sera. Dizeli chafu haiendeshi gari
binadam kwa figisu figisu,balaa
Sasa ngoja tusikie sera hahaaa dakika 16 kufika kumi na mbili kamili
Matatizo gani tena mkuu?Lowasa anasema ana matatizo kidogo na mda umekwenda.Sasa aende moja kwa moja kwenye ilani
Hahahaha Rais hana cha kusema ameandika hotuba kaiweka kwenye website someni huko.... Asante Mr president
Tambwe Hizza is BACK??????