Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Nimejaribu sana kumtafuta Tundu lissu aje kuokoa jahazi la Ukawa likizama sikumuona!

Nini kimemkuta?au naye kapewa likizo?
 
Sera zingine -Atamutoa Babu Seya na Masheikh wa Zanzibar Jela.
Kuna jamaa zangu ni Majambazi sifahamu wao itakuwaje
 
Ni mgonjwa anaumwa kiharusi, anatetemeka kugeuka tu shida kuangalia karatasi yenye hotuba yake shida uraisi hauwezi kura tunampa magufuli man's strong
 
Yaan Lowasa anataka tumchague ili amtoe babu seya!!!! Yaan hio ndo sera ya kumpeleka ikulu. Kweli huu ni uchiziiiii.... Huyu jamaa anawaaibisha UKAWA.......

hivi sera za kikwete zikikua ni safari za nje eenh!!? siku 377 raisi kuwa nje ya nchi yake ni ujuha, na kipya hatukioni mpaka leo zaidi ya deni la taifa kuongezeka...
 
Mzee Mwanakijiji yafaa nikufate kupumzka kuisuport chadema mbka cku ya uchaguzi ndipo ntakapo changia tena jamvin saizi napumzka
 
Last edited by a moderator:
unazungumzia mstabali wa Watanzania miaka 50 mbele kwa dakika 10 za kuzungumizia bab seya

Kikwete alayekuwa anatumia muda mwingi kudanganya watu alifanya nini? Nia yenu mzee ashushwe na ffu hapo mgeongea sana. Wewe huoni kama angekuwa na muda walau kuongelea Elimu tu siku ingeisha? Mpe kura yako uone hiyo kasi ya utendaji
 
Labda kwa wale wageni hapa JF wanaweza kudanganywa na huu utumbo wako!
 
Babu seya amelawiti watoto halafu huyu lofa anasema atamtoa, amtoe yeye ni mahakama? Na akisha mtoa itawasaidia nini watanzania? Kweli ukawa wamechemsha.Sasa ndio nimeelewa kwanini ccm walimpiga chini.

Nchi hii Inafikia kipindi mahitaji ya Watanzania in kumtoa Babu Seya?
 
kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA aliingilia kazi ya nani... au alikua jaji kipindi hicho
Mkuu hao walikuwa wameishahukumiwa na mhimili wa mahakama? Babu Seya amepitia Mahakama ya Hakimu Mkazi akakutwa na hatia, akaenda mahakama kuu akakutwa na hatia na akaenda mahakama ya Rufaa akakutwa na hatia; amemaliza stages zote za kimahakama.
 
Mgonjwa ni mgonjwa tu sawa na mpumbavu hata kaka yake amekubali. Hana vision...very low very low..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…