tulia dozi ikuingie
Hawa Ndo Wanaojinasibu Wataleta Mabadiliko?Hawajaelezea Hata Kimoja Kitakachoweza Kutatua Matatzo Ya Watz,hawa Ndo Tuwape Kura?Dah Ccm Mbovu Ila Hawa Wabovu Zaid,hawana Mipango Hata Sera Zero...Et Mim Niende Nkasome Kwenye Website Wkt Mda Walikua Nao Wakutueleza!!
Kuanzia sasa kuelekea uchaguzi mkuu sidhani hata kama hao CCM wanahitaji kutumia goli la mkono. UKAWA wamejifunga wenyewe. Upinzani haututendei haki watanzania kwa kuendekeza uroho wa madaraka. Kuna kitu hapa hakipo sawa kabisa.Yaani CCM itatutawala mpaka Yesu arudi kama wapinzani wenyewe ni hawanaoongozwa na watu wakubadilisha gia angani.... Tumewekewa placebo tu, hakuna wapinzani na mwaka huu tumejua rangi zao!
Ni mgonjwa anaumwa kiharusi, anatetemeka kugeuka tu shida kuangalia karatasi yenye hotuba yake shida uraisi hauwezi kura tunampa magufuli man's strong