How comes mtu anashindwa kusoma matarajio ya hadhira? hana mpangilio, haeleweki, vipa umbele vingine hadi akumbushwe! tuweni ukweli bora kumpa dovutwa kuliko lowassa. Niliwalaumu sana siku ya kwanza ccm kumkata, leo hii nimewaelewa. Lowassa sio presidential material at all
How comes mtu anashindwa kusoma matarajio ya hadhira? hana mpangilio, haeleweki, vipa umbele vingine hadi akumbushwe! tuweni ukweli bora kumpa dovutwa kuliko lowassa. Niliwalaumu sana siku ya kwanza ccm kumkata, leo hii nimewaelewa. Lowassa sio presidential material at all
dah! shemeji tema mate chiniMimi Tomaso, naelekeo huko my self. Huu mwaka tumepania, ccm wakichomoka mwaka huu sintoamini tena kama kuna Mungu atakuwa ni magumashi tu, nitajiunga rasmi na Atheist.
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Elimu bure hadi Chuo kikuu.
4. Afya. Dispensary kila kijiji.
5. Kilimo. Kilimo cha kisasa pamoja na kuhakikisha kwamba wakulima wakikopwa mazao yao wanalipwa na riba.
6. Ujenzi mpya wa reli ya kati.
7. Kuboresha huduma ya mawasiliano.
Hayo ni machache ya aliyoongea. Upo hapo?
kama kijana Wa Tanzania napenda kuona mabadiliko yanatokea katika nchi hii. nchi inahitaji kiongozi na mfumo safi Wa kuiongoza katika kupambana na matatizo mbalimbali. niliwategemea sana CDM na vyama vinavyo unda UKAWA nikiwa na imani kubwa kuwa vitaleta mabadiliko na kuikomboa nchi kutoka katika matatizo tuliyo nayo sasa! ila kuanzia Leo nimepoteza matumaini kabisa ya hayo mabadiliko. UKAWA wameshindwa kuweka mgombea ambaye angeweza kutatua shida za watanzania. lowasa sio mtu wa kuleta mabadiliko hata siku moja, mabadiliko Tanzania baadae saaaaaaana!
Sio kuongea Sema vipaumbele vyake in kumtoa babu Seya na kuwatoa mashehe Kweli jamani sisi tunahitaji nini
""Loh ni baraka zilizoje?""
manyunyu ya mvua nyepesi sana!!
loh! hakika mungu yu hapa!
Allahu akber!
Nini hiki?
Imeshangaza sana kwa mtu kama huyu ambaye hana uwezo kutaka uraisi.
JAMBAZI atolewe??, ni zaidi ya maharagesasa kama ni haki sawa! Awatoe na majambazi wa stakishari vifungoni!
mods wa hii forum walianza huu upuuzi mwaka 2010
waanzilishi wa forum MIke na Max siku hizi ndo hawajali kabisa. Note kuwa Mike ni swahiba mkubwa wa JK
Usisahau pia kuwa Lemutuz anajigamba kuwa anamiliki percent fulani ya hii forum
go figure
Watanzania wamezoea kudanganya
Mtu aje aseme nitajenga fly overs Tazara, nitahakikisha barabara sita chalinze mpk Dar, ndio ujinga ujinga wetu.
Usiseme mengi kuliko inavohtajika, maana kwa miaka mi 5 huwezi fanya yote. Kasema vitu vyenye athari kwa watanzania wote, sio wana Dar es salaam tu.
1. Elimu
2.Elimu
3.Elimu
4. Reli ya kati
5.Shirika la Ndege
6.Maji vijijini
Wasiojua kuongea ndio Watendaji
Lowasa will be our next president by the Grace of God
1
BODABODA NA MAMANTILIE DAR ES SALAAM
Hatimaye mamia ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwemo bodaboda na mamantilie wamesikitika sana kwa kilichotokea katika ufunguzi wa kampeni za mzee Lowasa.
Awali wanainchi walitegemea kama siku yao muhimu ya kusikiliza ilani ya Chadema, ambayo ndiyo ingekuwa chachu ya maendeleo yao hapo badae lakini wamesikitika mara baada ya mzee kushindwa kuongea na kuwambia wanainchi ILANI ITAWEKWA KTK WEBSITE YA CHAMA, jambo ambalo limezidi kuwapa upofu na kuwa na mashaka na uwezo wa mzee Lowasa pamoja na watu wanaomzunguka.
Hata hivo bodaboda na mamantilie wamesema wao hawana uwezo wa kusoma kutokana na kukosa elimu, swala ambalo walitegemea mgombea analifahamu vema hali ambayo imekuwa tofauti.
Kwa mujibu wa maelezo ya maelezo ya wanainchi hao, sasa wameamua kumuunga mkono Dr John Pombe Magufuli.
Tunataka atuambie atatufanyia nini Sisi wananchi tukamwamini kumpa kura baasi!unaniambia habari ya kurudisha balal duniani tena?!Kazi ya kurudisha watu amwachie Gwajima na kanisa lake sisi tunataka SERA zenye mabadiliko!!!
Kuna watanzania zaidi 50 wamefungwa Congo tena vifungo vya maisha kwa kesi ambazo hazina ushahidi wala maelezo ya kueleweka!watu wako ulaya mahabusu kwa zaidi ya miaka 20 hawajasomewa mashtaka yao,niambie Lowassa utawatowaje wale watanzania waje walitumikie taifa lao na uaepushe na uonevu wanaotendewa!badala yake unaniambia utamtoa Babu seya Gerezani na Magaidi walioua Askofu zanzibar na kulipua mabomu makanisani kweli??!
Hapana hapana!tunataka mabadiliko na sio marudio yautawala