Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Jamanimbona hatuoni mapicha, msiache nikaanza kujuta jana nimenunua power bank ili niweze kufuatilia hii kitu kila hatua.[/m

Mapicha hayo hapo...wazee wa vifusi
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1440837117.745766.jpg
    32.9 KB · Views: 724
Nimeona update moja kuwa watu wamelala uwanjani tupen picha na uhakika zaid jamani
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

But not through EL
 
Nchi kusimama kwa muda kushuhudia uzinduzi wa kampeni vyama vikuu vinne #UKAWA leo zamu yako tukutane jangwani .

TOROKA UJE
 

Karibu karibu mgeni, ushafika uwanjani lakini? Piiipooooooo!
 
Alfajiri sana alianzisha uzi wa live updates mtu wa kuaminika standalone lakini Mods kwa sababu ambazo nimeshindwa kabisa kuzielewa wakaunganisha na uzi wa maandalizi ya jangwani uliowekwa jana.

Mbona sioni uzi wa live event za ukawa janngwani?
 
ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
he look sick...jana ilinishangaza sana alipokuwa mbeya hata ongea yake. Au ni lile tatizo limerudi..kuweni waangalifu msije mkampoteza kwa kutafta sifa...aende check up.
 

Uko sahihi hakukuwa na maana yoyote kuunganisha ule uzi ulioanzishwa na StandaloneSAA 6 usiku ambayo ni siku mpya ya tarehe 29-08-2015 wakiunganisha na ule wa maandalizi wa Jana tarehe 28-08-2015
 
Last edited by a moderator:
Leo nataka nione kama watu wananunuliwa ama mafuriko yanatengenezwa.sijapewa hela wala usafiri naenda mwenyewe kwa gharama yangu sa sa hivi Niko Suka,naenda
 
Unaongelea kipindi cha 1990,,, wakati ule simu za mobitel zisizo na meseg ndio zilikuwa zinamilikiwa na matajiri tu. Ungo tunaziona ofisi za mabalozi tu. Au unazungumzia kipindi cha sasa uozo wa ccm habari imetapakaa mpaka kona ya nchi.
subiri oct25 jibu utalipata
 
Mvua iliyo anza kunyesha asubuhi ya leo mkoa wa Dar es salaam imeharibu mkutano wa UKAWA.

Hiyo ni ishara ya kukubalika na Mungu jambo hili, hivyo ni Baraka za Mwenyezi Mungu.
Piga magoti sema ahsante Mungu kwa kutupa ishara kubwa hii maana ni dhahiri anasikia maumivu siye wanyonge wa kuonewa kila uchao chini ya utawala wa mkoloni CCM.
 

Kumbe wametoroka makazini kuacha kuudumia watu wanahitaji zao wengine ni masikini wamesafir kuja dar kupata wewe unafuga ofic kwenda kuwasikilza matapel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…