GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Hapo ndo nakupendaga😁😅😅😅Dr Mari mwenyeweBilioni moja unadhani ni makalio kila mtu anayo eeh
Pumbavu.Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.
Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha
Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.
Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.
👀🙄🤔💬Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unakuwa rahisi kuupata zaidi
Bajeti ya kampeni ndani ya CCM ya mtu anayetegemea kuwa mshindi haya wa pili Jimbo la vijijini ni zaidi ya million 400Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unakuwa rahisi kuupata zaidi
Hawajui mkuu million 30 ndo hela gn hiyo..kumbuka rushwa zinaanza 2023 huko Miaka miwili before uchaguzi👀🙄🤔💬
Kumbe mna bahati mbaya hamjawai Kuwa Katika team ya kampeni..ubunge sio poa andaa million 200 kwa mtu ambaye ana focus ya kumtoa waziri jimboni1.5B unaijua hizo hela watu wanatumia kutafuta Urais na sio ubunge .
Mimi mama yangu ni mjumbe wa Ccm mwaka wa 30 hela wanazopewa ukila hela nyingi haizidi 50K
Na zamani kipindi kila mwenye kadi ya sisiemu anapiga kura kila walikuwa wakitoa 5K -10K .
Mkuu Baba levo kumbuka ashashindaga kamari casino zaidi ya million 200 na ana tag ya diamond..billion kweli uwongo ila Baba levo kuspend million 300 kusaka nafasi naweza kukubaliPumbavu.
Bilioni yeye kaitoa wapi? Muwe mnaona aibu kupost ushuzi humu kwani mnaonesha uchi wa akili zenu mbele za watu.
Wanachukulia poa eti mdau anasema ubunge uupate kwa million 30Mtoa mada tulia uhudumie ndoa, siasa sio size yako
Mkuu tambua posho sio 2025 pekee watu wanaanza kukukula kuanzia 2023 km uko serious kweliKwa Hawa Hawa wajumbe wanaohongwa elf 15 na sahani ya wali nyama au?
Hawajui thamani ya pesa wanataja tuBilioni moja unadhani ni makalio kila mtu anayo eeh
Kuna mwamba ni mjumbe, aliitwa kwenye kikao na mtetezi wa kiti, aliniambia walipewa buku 20 baada ya kikao, nilishangaa sana.Kwa Hawa Hawa wajumbe wanaohongwa elf 15 na sahani ya wali nyama au?
Yah 30 n kdg kwa mbunge, hvy nakuunga mkono kusema kwa mbunge aandae sio chini ya 200.Wanachukulia poa eti mdau anasema ubunge uupate kwa million 30